Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Spurs tayari ameshatoka nje ya Reli
Spurs anaweza kuwa kwenye hard time kutafuta top 4, maana kama Man Utd na Chelsea wakishinda game zao, gape litakuwa la 3, 4 na 5 points.
Na ana game kadhaa ngumu.