¿Udhaifu haukosi kwa mchezaji... kikubwa kwa beki ni kuzuia mashambulizi, sababu beki ndio sehemu ya mwisho unamfikia golikipa.IN KLOPP WE TRUST,
Dunia Ina vituko kweli Kuna mtu anasema VVD ubeki wake una madhaifu na yeye anayajua aaisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa jamaa nasiki hakosei pakubwa et?TAWILE MGANGA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa ufupi tu :
Klopp atakiwi kufukuzwa Liverpool iwe Kabeba ndoo au Hajabeba ..Labda aondoke mwenyewe "
Wanaoijua Liverpool Vizuri Wamenielewa.. Apewe Muda Tena.
IN KLOPP WE TRUST,
Dunia Ina vituko kweli Kuna mtu anasema VVD ubeki wake una madhaifu na yeye anayajua aaisee
Sent using Jamii Forums mobile app
true Milna nguvu nyingi akili ndogo..Mkuu it is obvious captain anaenda kuanza kwenye derby unless otherwise..
Mchezaji anayenchosha zaidi nkimuona anaanza ni Milner.. i really dont know why i despise this guy though anapambana sana.. Naona anatumia nguvu nyingi sana uwanjan but hamna creativity and yuko too predictable.
Salah is still good no doubts man atatupa matokeo mahali tusipotegemea...
Kwa hiyo unataka kusema mnamtaka Roman.?kabla hajaja Roman na bilioni zake mlikaa muda gani kuja kuchukua ubingwa EPL ndugu...
hivyo sis mtuache tupambane na hali zetu..
hio mickey mouse imekichana kikosi chako.japo babu anadai hali ni shwari..
Sisi tunakuja kuharibu kila kitu ..Nadhani Liverpool kwasasa imebakia na Game 1 tu ambayo itakiwa underpressure dhidi ya EVERTON
Baada ya hapo kama itakuwa bado inaoongoza Ligi basi Kocha iwapo hatokuja kuwa moga game v/s Chelsea & Spurs ambazo zote tunacheza Home basi City regardless na Matokeo yake lakini hatompita Liverpool
Hivi London kuna timu zaid ya Chelsea?
Hizo on target atapiga apo Wembley za kutosha..Yaan anaona kama sikukuu, wakat chelsea kwasasa maji kupwa maji kujaa,
Subir game ijayo ,na waendelee kumuweka cabarelo,
Maana hao spurz hakuna asiyejua ni mbwembwe tu, jana hawajapiga on target hata moja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi London kuna timu zaid ya Chelsea?
Sisi ndio King of London ..
Sisi ndio wawakilishi wa London muda wote kwenye competition zote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmewaotea wavimba macho goli tano mmesahau kwamba nyie ni tia maji tu.sure kabisa, cha msingi ni kama wamechemka kutengeza nafasi au assist za kufunga basi wengine wame step up na wamefanya vyema..
jana klosi za Anord was superb n classic...
sasa ni consitency kama ataedelea kupangwa adeliva vilevile tutakua moto...
Yaani unamaanisha Liverpool akimalizana na Everton tu,mechi zote tisa zilizobaki anashinda..!?Imagine tingelikuwa bado tunaoongoza kwa points zilezile 7 na imebaki michezo hii tuliyonayo sasa:
March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)
April
√ 5 – Southampton (A)
√ 14 – Chelsea (H)
√ 21 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)
May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Hapo tukimalizana na Everton tu sioni timu nyengine ya kutusumbua.
Tungelikuwa sasahivi tunauchekelea Ubingwa
Yani kwa ufupi tangu 2009-2019 miaka 11 ..wamebeba kikombe kimoja tu.Miaka saba sasa imepita toka Liverpool alipochukua kombe la mwisho. Toka hapo hamjachukua kombe lolote. Tena kombe lenyewe the so called MICKY MOUSE CUP.
Mwaka wenu huu EPL naona mnaelekea kuzingua tena.View attachment 1034195
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Klopp Dakika za mwisho huwa anapoteana kama wewe..Imagine tingelikuwa bado tunaoongoza kwa points zilezile 7 na imebaki michezo hii tuliyonayo sasa:
March
√ 3 – Everton (A)
√ 10 – Burnley (H)
√ 17 – Fulham (A)
√ 31 – Tottenham Hotspur (H)
April
√ 5 – Southampton (A)
√ 14 – Chelsea (H)
√ 21 – Cardiff City (A)
√ 27 – Huddersfield Town (H)
May
√ 4 – Newcastle United (A)
√ 12 – Wolverhampton Wanderers (H)
Hapo tukimalizana na Everton tu sioni timu nyengine ya kutusumbua.
Tungelikuwa sasahivi tunauchekelea Ubingwa