yuko on fire🔥🔥Jamani Keita anatisha
Hivi kwanini game haiwezi kuanza anfield mpaka muimbe Songi lenu
Mm ni man city. Ila liverpool leo anakipiga. Hatakama atafungwa ila mpira kapiga.Shati hilo, analindwa na mabeki tu
Sent from my iPhone using JamiiForums