Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hatuhitaji sure ya magoli kama hatutashinda second half ni bora mechi iliishe hivi hivi tutaenda kumalizana nao kwao
 
Mbona kama aielewi maana ya neno possession? Kila saa nasiki filimino filimino aaaahhh maneee maneee manee aaaah halafu possession wapo chini ya Bayern
 
Hivi Captain wetu yumo uwanjani?
kuna anayeweza kuleta stats zake za first half aniambie ni nini anachokifanya/
 
Teacher aangalie upande wa kulia, umekuwa uchochoro wao wakupita

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio uchochoro bali ni game plan ya bayern kutumia Left wing kwani kama unaangalia mpira Live basi utaona kuwa kuna Coman na Alaba wote wawili wanakwenda upande huo kushambulia kwa wakati mmoja na anakuepo TAA peke yake.
Na kama mpaka sasa hawajaleta madhara manayake TAA amefanikiwa kuwadhibiti kwa mpaka muda huu.
 
Thanks mkuu, basi TAA anakimbiza pia, ila kiukweli MANE, KEITA na FIRMINO wanacheza jihad leo
Sio uchochoro bali ni game plan ya bayern kutumia Left wing kwani kama unaangalia mpira Live basi utaona kuwa kuna Coman na Alaba wote wawili wanakwenda upande huo kushambulia kwa wakati mmoja na anakuepo TAA peke yake.
Na kama mpaka sasa hawajaleta madhara manayake TAA amefanikiwa kuwadhibiti kwa mpaka muda huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani golini kwao tumeingia mara nyingi tu ila kutokana na pressure ya game wachezaji wanapoteza nafasi
 
Mane alistahili awe na bao
Salah alistahili awe na bao
Tunarudi halftime,Mungu yupo na sisi
 
Si washambuliaji bali ni defence yetu ndiyo itakayoamua matokeo ya game hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom