RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Eheee umeamia kwa Chelsea unategemea kupigiwa ushaferi wewe tazama na Spurs nae unamzidi ala 5 anaweza kukushusha muda wowoteNa Leo tumegoma kufanya home work yetu, naimani Chelsea atatufanyia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
