Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ya Chelsea vs Man City will be very interested and amazing... Ha ha

  • Man City will want to win the game to keep pressure kwenye title race against Liverpool.
  • Chelsea will want to win the game retain their position (Top 4) kwani wakipoteza tu Manure will be above them.
This will be a must win game for both teams

Sio game ya kukosa hii coz ni vita ya Mtu 3.

1) Man City: Want to win the league
2) Chelsea: Want to remain in a Top Four
3) Man United: Want Chelsea's position

CC: Ollachuga Oc
City jirani yetu Utd, na moango ni huu, yeye city atusaidie kumkalisha chelsea ili sisi tuingie mtaa wa nne, then na sisi tushamhakikishia city kua looserpuzi akija OT hatoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game kuna watu watafia uwanjani. Wakati huo sisi tunacheza Man City, yeye Man U atakua anacheza na kama siyo Cardiff ni Fulham so kwa vyovyote vile ana asilimia nyingi za kushinda. Game ni ngumu kwa sababu naye City itakua ngumu kukubali kufungwa nyumbani kwake.

Lets wait
Game ya Chelsea vs Man City will be very interested and amazing... Ha ha

  • Man City will want to win the game to keep pressure kwenye title race against Liverpool.
  • Chelsea will want to win the game retain their position (Top 4) kwani wakipoteza tu Manure will be above them.
This will be a must win game for both teams

Sio game ya kukosa hii coz ni vita ya Mtu 3.

1) Man City: Want to win the league
2) Chelsea: Want to remain in a Top Four
3) Man United: Want Chelsea's position

CC: Ollachuga Oc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom