Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Westham nyama ya hamu hao ..Twala tuuuuu LIVER ITS OUR YEAR....
 
Wakati anadhani anamsaidia Man city, Totenham hotspurs wanalinyakua kombe na kuwaancha wote wakiduwaa wasijue la kufanya.
Huyu ni muongo. Anataka kuisaidia liverpool na sio mancity. Mtaona leo kama liverpool hatapata point tatu za bure.
 
Manure tunamwombea Chelsea tu wapigwe ili tuingie top 4 lasimi sasa ligi ilipofikia kila MTU anaombea adui yake njaa

Naona Msimu huu Ligi imekuwa ya Maombi zaidi kuliko performance za au uwezo wa timu zenyewe...

Jana: Man City v/s Arsenal
√ Man United aliomba Arsenal apigwe
√ Chelsea aliomba Arsenal apigwe
√ Spurs aliomba Man City apigwe
√ Liverpool aliomba Man City apigwe

Baadae: Man City v/s Chelsea
√ Man United ataomba Chelsea apigwe
√ Arsenal ataomba Chelsea apigwe
√ Spurs ataomba Man City apigwe
√ Liverpool ataomba Man City apigwe

Then: Man United v/s Liverpool
√ Man City ataomba Liverpool apigwe
√ Spurs ataomba Liverpool apigwe

Most interesting ni kwamba!
√ Chelsea ataomba Man United apigwe
√ Arsenal ataomba Man United apigwe

Tumekuwa Wazee wa kuimbeana Mabaya tu! Ikibidi hata mchezaji wa upinzani avunjike mguu mbona powa tu 😀😀
 
Pale Westham kuna Jitu moja hivi Jeusi kama mkaa linapasua kuni za mti wa aina yeyote lina mbio,lina nguvu na ni linyumbulifu sijui linaitwaje asee jina kapuni.........Anyway acha nilitakie kheri kwenye mechi yao leo...wakitoa Sare nitahuzunika kidogo lkn tutawapongeza pia ila ushindi ndio target.
COME ON HUMMERS.
Kwa jinsi ulivyomwelezea huyo lazima atakua basha/mume wako
 
Nakumbuka maneno yanayofanana na haya Aliyasema Wenger mwaka 2009 hatimae akatuzuia kwa kutoa sare ya 4 - 4 kwenye game yetu na ubingwa akampa Man United.
hapo sasa ndio hali tunayokutana nayo kaka, concentration inahitajika ya hali ya juu vinginevyo tutegemee kilio..
 
Hivi kwanini JK asimtupe Fab kule kulia huyo Hendo akimbie kimbie huko katikati ya uwanja?
Wee jamaa hivi ile kimbiza kimbiza ya hendo unaona inafaa kiasi cha kumtoa Faby pale kati kweli?
Juzi alivyo ingia pale kati na kubadili upepo sitamani apangwe popote pale ila pale kati tu
Tungeweza kupata goli kama angeingia mwingine badala ya Sturreg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom