Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

My Line-Up kwa leo:

SALAH

KEITA - BOBY - MANE

FABI - GINI

ROBBO - VVD - MATIP - MILNER

ALISSON

Hapo ni lazina 3 Points tuzichukue..

Kikosi kikipangwa vyenginevyo basi Snow yaweza kutunyima ushindi.
 
Hii game kuna watu watafia uwanjani. Wakati huo sisi tunacheza Man City, yeye Man U atakua anacheza na kama siyo Cardiff ni Fulham so kwa vyovyote vile ana asilimia nyingi za kushinda. Game ni ngumu kwa sababu naye City itakua ngumu kukubali kufungwa nyumbani kwake.

Lets wait

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku ya hii game nitahakikisha Kazi zangu zote Nazistopisha 1 Hour before game huku nikiwa na Mirinda mkononi pamoja na sahani ya Maini ya Kuchoma.

Nitakuwa mshabiki wa Chelsea kwa dakika 90'.
Na Manure watakuwa washabiki wa Man City kwa Muda wa Dakika 90'.
Arsenal nao watakuwa Washabiki wa Man City kwa muda wa Dakika 90'.

Na mshindi au atakayepoteza katika huu mchezo si Man City wala Chelsea japokuwa wanaocheza ni wao! Bali hapo atakayeshinda na Kupoteza ni kati ya Liverpool na Man United.

  • Iwapo Man city atashinda: Hapo aliyepoteza ni Liverpool na Aliyeshinda ni Man United.
  • Iwapo Chelsea atashinda: Hapo aliyepoteza ni Man United na aliyeshinda ni Liverpool.
 
Hahaa.. Nimeipenda hii, kweli adui muombee njaa
Siku ya hii game nitahakikisha Kazi zangu zote Nazistopisha 1 Hour before game huku nikiwa na Mirinda mkononi pamoja na sahani ya Maini ya Kuchoma.

Nitakuwa mshabiki wa Chelsea kwa dakika 90'.
Na Manure watakuwa washabiki wa Man City kwa Muda wa Dakika 90'.
Arsenal nao watakuwa Washabiki wa Man City kwa muda wa Dakika 90'.

Na mshindi au atakayepoteza katika huu mchezo si Man City wala Chelsea japokuwa wanaocheza ni wao! Bali hapo atakayeshinda na Kupoteza ni kati ya Liverpool na Man United.

  • Iwapo Man city atashinda: Hapo aliyepoteza ni Liverpool na Aliyeshinda ni Man United.
  • Iwapo Chelsea atashinda: Hapo aliyepoteza ni Man United na aliyeshinda ni Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Line-Up kwa leo:

SALAH

KEITA - BOBY - MANE

FABI - GINI

ROBBO - VVD - MATIP - MILNER

ALISSON

Hapo ni lazina 3 Points tuzichukue..

Kikosi kikipangwa vyenginevyo basi Snow yaweza kutunyima ushindi.
best line up to cement our position at de top
 
Line up
IMG_3737.JPG
 
Duh Lalana tena? Atawapa tabu wenzake kuclear makosa yake.

Hata hivyo lazima tuuwe mtu leo.
 
lalana ndo game zake hizi hasa akichezaga na swansea.. sasa sjuy leo ila nmegundua Klopp rates him sana

Leo vs west ham anaeza prove(maybe)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom