mbona kuna negativity hivi humu ndani?
tunashika usukani wa ligi na tuna kiporo cha mchezo juu. so, let's enjoy the moment as it lasts guys.... wapinzani wetu wote 19 wanatamani kubadilishana position na sisi.
tunakoelekea timu zote inevitably zita drop points (including Man City na sisi). in fact zinaweza ku drop points even vs the likes of Fulham, etc.
kikubwa ni ku retain focus. we need luck as well.
mifano...... mechi yetu vs M City tuli deserve at least a point lakini 1 cm tu ilitunyima. similarly vs Leicester - tulinyimwa clear penalty while Maguire alitakiwa awe yupo kwenye stands kabla hajatufunga lile goli lao la kusawazisha.
the beauty of all this ni kwamba ziraili (bad luck) anapoamua kutoa roho hachagui - atatutoa roho sisi sote 20 kila mtu kwa zamu yake. the lucky ones are those who purposefully ride their luck....... which is what we must keep doing kwa kuhakikisha our team dedicate their all on the pitch.