Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa tunahamia kwa Ze Bluz amsimamishe City 😀😀

Yani kweli tumeishiwa manake si kutegemea wengine kiasi hichi kuwa watupatie Faraja.
 
Leo kikosi cha city kilikuwa kimekamilika vilivyo,kama wachezaji wake hawatapata injuries ubingwa kwetu itakuwa ni ngumu sawa na arsenal kuingia top 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom