Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaweza kutaja hizo game 3 ambazo Man City anapoteza clearly..!?
Nataka nibet,ukinitajia hizo mechi nitashukuru sana..!
 
Uyo Salah Siku hizi bila penalty hafungi kabisa magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
January inakaribia kuisha Chief..!
 
Hazard wenu kafunga magoli ma tatu ya penalty na salah nae kafunga matatu ya penalty. Lkn hazard ana jumla ya magoli 10 na salah magoli 16.
Kwaiyo ukichukua magoli 16 ya salah ukatoa 3 ya penalty unapata 13. Ambayo bado ni mengi kuliko magoli yote ya hazard 7 + penalties 3
Uyo Salah Siku hizi bila penalty hafungi kabisa magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Hazard na Salah wanacheza nafasi moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohammed Salah atawaumiza sana vichwa nyie wapiga ramli, mwanzoni mlisema yeye ni one season wonder, akawajibu kwa mvua ya magoli.
Saizi mmeanzisha kihoja cha kujirusha/dive, endeleeni na vihoja vyenu mkijakushtuka May imeshafika anabeba tuzo ya ufungaji bora, VVD uchezaji bora huku Liverpool ikinyanyua kwapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…