Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp ni moja ya makocha wazuri sana ila huweza mfananisha na pep interm of success tu.

profile ya pep ni mbali sana na klopp.Pep amechukua makombe karibu yote aliyoshiriki.

pep sio Mungu mtu kama wengi mfikirivyo yule jamaa anajua mpira ni ku-win cups ndipo utawachwa watu midomoni mwao wakikuzungumza.

Angali kocha kama Sarri mpira mzuri mafanikio hamna lkn anaweza kuibuka mtu akakuambia Sarri ni mzuri kuliko Unai ambae unai ana uefa europe 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli PEP ni kocha mzuri pia alikua mchezaji mzuri lakini ukiangalia career yake amefundisha timu ambazo tayali zinamatokeo chanya kutokana na vikosi alivyobahatika kufundisha. angalia City tangu ipate tajiri karibu kila kocha alifanikiwa kuchukua EPL maana yake sijaona maajabu ya kufanya awe very special tofauti na wengine, anabahati ya kufundisha timu nzuri pekee
 
ni bora kuliko wote duniani?ok
naomba nielimishe amempiku nini zidane? nimeuliza tu naomba nijibiwe kwa fact.
Jamaa wanamsifia saana bila kuangalia timu alizofundisha PEP zilikua au zipo katika kiwango gani. mpeni Cardiff City kisha mje na takwimu za ubora wake hapo. sometimes ubora unatokana na wachezaji ulionao. Kwangu Mimi ni kocha mzuri sawa na wengine wakubwa kama Jose, Klop, Mancin, Zidane, Sarry e.t.c

ungebakia kuwa msomaji tu kama wenzako wengine, watu wasingeona pumba kama hizi ulizoandika.

na siyo kila mtu lazima awe shabiki wa mpira, kuna michezo/sanaa kibao ambazo unaweza kushabikia na zikakufichia uwezo mdogo wa kufikiria ulionao.
 
Jamaa wanamsifia saana bila kuangalia timu alizofundisha PEP zilikua au zipo katika kiwango gani. mpeni Cardiff City kisha mje na takwimu za ubora wake hapo. sometimes ubora unatokana na wachezaji ulionao. Kwangu Mimi ni kocha mzuri sawa na wengine wakubwa kama Jose, Klop, Mancin, Zidane, Sarry e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja nyepesi kaka ubora umemfikisha alipo kwa nini hili tunakwepa?

Mbona kocha tofauti wameshindwa kuchukua world cup na wachezaji wazuri?

where are the psg with there huge investment kwenye mashindano ya ulaya?

Kwa mantiki ya hoja yako messi na ronaldo hawastahili Tuzo za dunia kwa sababu walikua na watu wazuri waliomzunguka?

man city lini kachukua ligi na point 100 kabla ya pep?
Man city hii hii ya pep iliifunga barcelona 3-1 yenye Messi Iniesta Neymar Suarez busquet ambaye wengi husema ndio ubora wa pep (messi).

Nimalizie kwa kusema ili ukae uko kwa walio bora unapaswa kua bora...

We need to credit pep mwenye trophies more than 22 in 10 and half years.

Sio tunamuabudu tunakubali mafanikio yake.

but i trust in Klopp akitulia na Michael Edward atakua among lfc legend manager to be remembered... kwanza as first manager to win EPL for us.

Sawa hoja yangu nyepesi PEP ni kocha mzuri sina ubishi na hilo ila kuonesha mafanikio kwa sehemu alizofundisha ni sawa na kustaajabu kunyesha mvua kipindi cha masika.

Na kuquote mara ya mwisho.

1.Unakubali pep mzuri ila una maana sio mzuri sababu alipita timu kubwa.
2.umeamua kwako pep sio kocha mzuri.

Wangapi walikua na hao kina messi wameshindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trent Alexander-Arnold will be sidelined for around 4 weeks with a knee injury.

Georginio Wijnaldum is also a doubt for Crystal Palace game with knee problem.
( Paul Joyce )
 
Liverpool interested in signing Club Brugge winger Arnaut Danjuma Groeneveld according to the Daily Mail.

Groeneveld, 21, started the season in impressive fashion with four goals and four assists in 11 league appearances.

Former Everton boss Ronald Koeman handed him his international debut for Holland against Belgium last year but an ankle injury has since kept him sidelined since October.

Groeneveld is due to return to action in February, and reports claim Everton, Tottenham, Manchester City and AC Milan are also tracking the winger.

Milan are thought to have had a £9m bid knocked back earlier in the window
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom