Huo msimu unaousema Milner alicheza km left back.Lakini pia sio point kumtoa mtu kwa mkopo kwa sababu eti wapo wa namba zingine wanaoweza kucheza hapo PIA!Off course kocha kabugi kumtoa cline lakini milner yupo na kuna msimu karibia mzima alicheza km right back
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vituko wewe ili uwe kocha bayen ni lazima ukidhi viwango kwanza.Sawa hoja yangu nyepesi PEP ni kocha mzuri sina ubishi na hilo ila kuonesha mafanikio kwa sehemu alizofundisha ni sawa na kustaajabu kunyesha mvua kipindi cha masika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapooo jani linapo zidi hapo Clayin atarudishwa au ndo ishapita?TAA nje mwezi mmoja anatarajiwa kurudi kwenye game against Bayern
Milner to the RB !!?
Ha ha ha sisi feki bhana ngoja tunyamaze.Unavyosikia Arnod atakuwa nje mwezi na huku kocha wako amemtoa kwa mkopo Clyne(kwamba mi surplus) ndipo unapojua kuwa kweli hujui the so called soccer management...
Kwa hiyo hapo hiyo namba wataanza kucheza watu wa "by the way" eti kwa kuwa wanaweza PIA kucheza kama right back.This is just the beginning of paying the price of loaning out a fit Clyne
Vipi kuhusu uzoefu?I SUPPORT KLOPP DECISION ON LOANING OUT CLYNE IN A TITLE CHASING SEASON BECAUSE CAMACHO IS FIT ENOUGH TO BE A BACK-UP TO TRENT.
"Post like a TOP RED"
Yes of course lkn hatuna uwezo wakumpata cline at this stage km ni mistake yakumpeleka kwa mkopo ishafanyika the only option nikuangalia available option nakuzitumia hakuna namnaClyne is better and reliable RB than Milner
please, lets be real here and just hope for the best
il miss Clyne, Milner legs not gettin any younger.TAA nje mwezi mmoja anatarajiwa kurudi kwenye game against Bayern
Milner to the RB !!?
naona jamaa wakiliona kombe la EPL msimu huu hapo kwenye picha wanakua motivated...nimeipenda hio picha na hizo motivating cups,kweli msimu huu linakuja kabisa Anfield
Kuna binadam anakuambia Clopp hakosei yeye anajua zaidi.Yes of course lkn hatuna uwezo wakumpata cline at this stage km ni mistake yakumpeleka kwa mkopo ishafanyika the only option nikuangalia available option nakuzitumia hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app