Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiv kipa wenu yule leo angepigwa ngapi? Shukuruni mlijikuna kuna kila upande mkampata huyo beki mnayeringa naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Clean sheet ya 13 sasa !
Screenshot_20181207-144825.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu akili zao bana, eti tumekuwa na timu hapa ikisuasua sua nk.

Hivi nyie jamaa maisha ni hapa JF tu! Kwa hiyo ushabiki wa mtu unaanzia siku uliyojiunga JF?
Eti usitukane timu ikifungwa ha ha haaa hajawai sikia watu wanapoteza hadi maisha nini kutukana
Yani ukosee kwa kiburi chako hafu watu wasi kukosoe sjawa shabiki wa hivyo.

Nzi kuna kauli aliotoa imenitoka
 
Ukitukana wachezaji na Klopp team ikifungwa PIA usishangilie team ikishinda!
Mzozo wangu na Liverpool feki unaanzia hapo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Yah yah man na huu ndio ukweli Mimi huwaga sichekagi na glory hunter, plastic fans.,... also known as washangiliaji maan ushabiki una maana pana.......
Mm ni shabiki halisia wa gunners ndio maana nimepitia katika vipindi Vingi vigumu nimeshuhudia timu ikipigwa 8 Na juzi 5 na sijawahi kuikataa timu yangu ila kama ndio wangekuwepo hawa maandazi usingewaona hapa hahaha
Viva shabiki nguli wa Liverpool ndio maana nakuitaga HALISI..... Iwe jua iwe mvua unabaki na timu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na kufungwa ushangilie hata kama kuna mapungufu unayaona kabisa kwani Clop ni malaika asikosee?
Mfano gem ya kipaji cha Keita ni cha kuingia bado dakika 5 kweli?

Basi hamna haja ya kufukuza makocha
Na hakuna timu isiyofungwa duniani.

Na sio kila timu inapofungwa basi wachezaji au kocha wanakuwa wamekosea muda mwingine kuna kuzidiwa uwezo,mbinu na bahati pia.......hakuna timu inayokwenda kwa dhamira ya kufungwa uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hakuna timu isiyofungwa duniani.

Na sio kila timu inapofungwa basi wachezaji au kocha wanakuwa wamekosea muda mwingine kuna kuzidiwa uwezo,mbinu na bahati pia.......hakuna timu inayokwenda kwa dhamira ya kufungwa uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujuha kutoa lawama kwa lile usilokua nanuwezo nalo kishindwa kupo tim zinashuka daraja na watu hawalaumu kwa kujua hawana uwezo wa kubaki
 
Sihitaji kwenda shule kujua alichomaanisha mtu asiye na logic, mtu anayeishi kwa akili za "Chochote atakachofanya kocha ni sahihi kwangu" au "Kocha hakosei".
Huyu anaitwa Loyal "Halisi" huwezi muelewa jamaa kama sio loyal kwa team anapokwambia klop anajua nini cha kufanya kuliko nyinyi usipomuelewa utakua na shida tu. but kikubwa ni kuwa mashabiki wengi hawawezi ku control hisia na kuwa wavumilivu. mahali popote conservatives wapo big up malafyale

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom