Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Nafasi yao nzuri ilikuwa kama angeharibu kwenye CB ila the guy ame-win kila kitu utadhani ni position yake
 
Isije ikawa anamapenzi nae ulimwangalia vizuri zile mechi 2 za Man u na Mancity alivyo mtulivu?

au anabolonga huko under 23 ndomana hajamsogeza hiki kipindi?

Kwenye Mechi Zile hata Sturridge alikuwa kama Messi, lakini aliishia kuzurura vs Wolves.

Mchezaji hapimwi kwenye Preseason kwani timu zote kwenye Preseason huchezesha Under23.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Naamini sababu ya kucheka ni kwamba hujafahamu kilichokusudiwa, wala hujataka kuuliza.

Hakukusudia in term of Kipaji! Bali kakususudia in term of kurithi Ucaptain kwani TAA ndiye Scouser peke Yake anayepata Namba katika kikosi kizima cha Liverpool.

Scouser wa mwisho kuwa Captain ni Gerrard, Lakini waliofata Kuvaa Armband baada ya Gerrard ambao ni Henderson, Mignolet, Milner, Coutinho, Can, VVD wote sio Scousers.

Kwahiyo Scouser anayefata kuwa mrithi wa Gerrard (Kwenye Ucaptain) ni TAA.
 
Kwenye Mechi Zile hata Sturridge alikuwa kama Messi, lakini aliishia kuzurura vs Wolves.

Mchezaji hapimwi kwenye Preseason kwani timu zote kwenye Preseason huchezesha Under23.
Ahaa nikajua kile ndo kipindi cha kuangalia wenye afadhali ili wasogozwe
 
Sisi akina liverpool fake tuta comment wapi ujio wa AOC & GOMEZ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Usi-comment kabisa, maana utaambiwa ulikuwa unapinga hatua zao za uponaji [emoji23]

Na Ninauhakika kitakachoandikwa baada ya Kubadilisha gia angani ni:



"Tuzidi Kushikama sisi LIVERPOOL HALISI..

Kuna wachambuzi uchwara walisema GOMEZ na OX hawafai kuchezea Liverpool!!
Sasahivi Gomez na OX anawanyamazisha.

Upuuzi mtupu."

Si munakumbuka kuwa tuliwakataa MIGNOLET, MORENO, KLAVAN na LOVREN last 2 seasons Wakati yeye Anawatetea na kusema ni Kipa bora na Mabeki bora duniani?

Sasahivi timu ikishibda na kutoa Cleasheet anakuja hapa na kusema kama kwamba yeye ndiye aliyemwambia Klopp awasajili ALISSON, ROBERTSON, VVD na GOMEZ.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yani jamaa hana tofauti na Mh. Polepole
 

Tumpe heshima yake anajua football management [emoji16] ... huwa anasahau kama yeye ndo yuko kinyume, sorry trash again [emoji16][emoji23]
 
Ubarikiwe mkuu!
 
SPURS rasmi wametoka ktk mbio za ubingwa
Bado Mungu-mtu wenu ,asiyefungika PEP lkn nae ataachia tu!!
Huyu ndiyo Klopp,the German machine.
 
hahahaha Top reds wa JF wakija humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ» watatuua hii wiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…