Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matip back in training, will be assesd kuona kama yupo fit kucheza kesho..

whats more ni pale unaposoma Klopp sweating over back to fitness for Henderson.

Hivi kwani Klopp kwa huyu jamaa anaona kipi ambacho wengi hatukioni...

Badala ya kutazama wapi kuna anahitajika auzwe yeye anakomaa awe fit kesho kuingia uwanjani...

Kusajili hata kwa mkopo Januari hii ni muhimu sana vinginevyo hali itakua mbaya twendako na hawa mediocre players Henderson n.k
 
Van Dijk
IMG_20190111_195149.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C&P

Klopp: "We already have problems. I saw Chelsea v Tottenham with both benches full, full squads, lucky them."

Sasa Klopp anaongelea tatizo gani wakati nasisi tuna full squads?

We have enough dapth jambo alilotuaminisha tokea mwanzo wa msimu.

Kwenye bench tuna:
Moreno
Origi
Sturridge
Camacho
Mignolet
Keita
Marcovich

Sasa hapo ni kichekesho kusema watu mabech yao yako full wakati na letu lipo full vipaji.
 
Hahaaaaaa
 
Liverpool HALISI,tuzidi shikamana dhidi ya MABEBERU na umoja wetu ndiyo ngao yetu!
Leo tuna mechi ya ligi,ni imani yangu vijana watapambana uwanjani
Isha'Allah points 3 leo zitapatikana
Tukishinda tumeshinda wote,tukipteza tumepoteza wote!
 
Hahahahahah
Once red always Red
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom