Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,374
Mi nalia na hii ya kumchezesha Firmino namba 9 wakati Origi yupo
Michezaji yenyewe tu ni mizembe haifai kuichezea liverpool kocha kayaona yanfaa kwenye mazoez kayaamini lakin yamemwangusha.
Mi nalia na hii ya kumchezesha Firmino namba 9 wakati Origi yupo
Sisi wengine humu ni watu wazima na tunaakili zetu,usifikiri wote ni wendazimu Kama wewe.Mkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.
Hahahahaha Liverpool HALISI bwana
Kwa sababu mumetolewa ndo unaita kombe la KIPUUZI.
Hivi unajua Heshima na FA kweli??
Kama sijakosea ..baada ya UEFA ni FA halafu EPL.. kwa pesa ndefuu
#MunaPointTatuzaSarri.
Sent using Jamii Forums mobile app
City kacheza na nani?Juzi Man City kashinda saba. Angalia kikosi alichopanga wakati anakupiga mbili na kikosi alichopanga wakati anashinda goli saba.
Hahahahahahahahaha wakati ninyi munaita sijui Mickey nini.... wenzenu wana njaa kama fisi jike aliyetoka kujifungua.
Muna miaka sijui mingap uko hata hayo "makombe ya mbuzi" hamjabeba halafu mumekaa na kuita ni "Mickey mouse cup" hahahahahahaha
Mukikosa na EPL pia mutaita ni Mickey mouse cup????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wengine humu ni watu wazima na tunaakili zetu,usifikiri wote ni wendazimu Kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kacheza yeyeHatuna depth kabisa, tunahitaji kusajili watu wa uhakika watano. Kaniudhi sana Klopp kwenye hii game ya Wolves.
Anasababisha tuishi kwa shida mitaani na mitandaoni.
Mkuu huyo Queen Bangwa sisi wengine tushamzoea. Yeye ni mtukanaji mzuri, yeye ni mjuaji wa kila kitu, hataki kupingwa. Sasa wewe pindisha neno anakua keshajisahau anaanza kuwaka. Wanasema mbwa ukimjua jina hakusumbui.Be Gentle a little bit. Utatuita mbumbumbu,majuha,. Huo sio utu. Kwa nini? Utadhani mhaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana aisee. Sasa mmebakisha vikombe 2 vikubwa ambazo ndiyo target yenu. Naamini mtabeba Epl na CL. Na msipojiangalia mtakosa vyoteHuo ndiyo Uliverpool Halisi wenyewe!
Tungelishinda nadhani unajua ambacho angelikiandika!!!
KLOPP best Coach
KLOPP world class
KLOPP Genius
KLOPP better than PEP
Liverpool inabeba FA, EPL na CL
Lakini tumeshagongwa anaishia kusema makombe ya Kipuuzi.
Subiri nakuhakikishia CL hatuna safari! Sasa Sijui nalo atakuja kuita kombe la kipuuzi!!
Mkuu huwezi funga timu zote.Tulisema carabao ni kombe la kipuuzi.Sasa tunasema carabao na FA ni vikombe vya kipuuzi.Inaonekana baadaye tutasema carabao,FA na UCL ni upuuzi tu,heshima ipo premier.Halafu baadaye zaidi tutasema mwaka huu haukuwa wetu mradi tupo top four tuna vikombe vinne vya kushindania mwakani.
Hatuna strong team kihivyo.Bado tupo stage ya kutegemea zaid morale ya timu na bahati.Hatujafika level ya city wanaoweza kulazimisha wanachokitaka na kukipata kutokana ba ubora wao.Bado kuna gap kubwa sana la kiuwezo kati ya Alisson na Mignolet.Gap kubwa sana kati ya TAA(ingawa simkubali) na Camacho.Tofauti kubwa kati ya VVD na yoyote atakayecheza namba yake.Gomez halingani na Lovren...at least Matip na Gomez wanalinganishika.Front three ndo hakuna kabisa mbadala wa Mane,Firmino na Salah...I mean hao akiba Sturridge na Origi ni average sana na sijui kwa nini hawajaachwa na kutafuta watu wanaoweza kuwachallenge akina Mane.Sheyi Ojo sijui kwa nini alikopeshwa.
Kwenye midfield hatupo vibaya tuna wachezaji wazuri sana lakini Klopp hajaweza bado kuexploit the maximum potential ya tulichonacho
Kabisa mkuu mwisho wa siku tunanyanyua kwapa waaaaaaaaNaona mmeamua kujitoa FA. Haya makombe mnayoyapuuzia ndio uwezo wenu wa kuyachukua mnaenda kukomaa huko UEFA mnaangukia pua.
Haya ngoja tusubiri. Si wengine acha tukomae na the so called MICKEY MOUSE CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Michezaji yenyewe tu ni mizembe haifai kuichezea liverpool kocha kayaona yanfaa kwenye mazoez kayaamini lakin yamemwangusha.
Mkuu Origi ni Sawa na Benteke tu si Mchezaji wa kukupa matokeo pale unapoyahitaji.
Jamani tufocus kwenda mbele na si kurudi 2015! Wachezaji kama hawa wasiotabirika timeshawakataa kwani hawawezi kukupa mafanikio! Wao huishia kukupa matokeo Mechi 2 lakini wakaishia kukuharibia mechi 15.
Sasa tuangalia kwenda mbele zaidi kwa angalau kuangalia aina ya kina Timo Werner.
Lakini Mkuu unataka uturudishe kwa Origi?? Sasa hapo tumekwenda mbele au Tunarudi nyuma?
Hata Sturridge aliwafunga Chelsea watu wakadai kuwa ni bora achezeshwe Striker, lakini tokea baada ya game ile kafanya nini?
Kwahiyo na huyu Origi Siku atakayokabidhiwa majukumu basi tutakimbizana hapa.
Nani tena huyo? lazima watakuwa ni Liverpool halisiMkuu umekosea! Klopp halinganishwi na PEP ! Bali Klopp anaitwa ni bora zaidi ya PEP ... Na tunaposhinda game hapa wanaandika kuwa Klopp ni Kocha bora zaidi duniani...
Kwahiyo hao kina kina PEP, Zidane, LVG, Mourinho, Emery wote ni watoto wadogo tu ambao hawana mafanikio aliyoyawahi kuyapata Klopp.