Makombe haya ya KIPUUZI yangechosha tu wachezaji!Mwaka huu ni EPL au CL period sio sijui upuuzi wa FA na Carabao
Klopp anaenda na EPL na CL.Period
Sent from my iPhone using JamiiForums
Moreno ni liability. Utafikiri hakuna mtu upande wakeYani leo naangalia mpira huku nacheka pale ninapomuona Moreno anayesema hatendewi haki kwa kuekwa benchi na kuchezeshwa Robertson
Sajilini beki la sivyo tutakuja kuwacheka hapaHalafu unakutana na watu wanakuambia hakuna haja ya kusajili
kwa aliyoyazungumza juzi hapa kocha kama mou hata pep turchel pia ni kumweka benchi...
am not happy with Klopp tonite. not happy at all!!!
Timu haina Depth ya kutosha still bado Manager anatoa watu kwa mkopo kirahisi rahisi tu Klopp hana Ambition na Trophy na hili litajulikana muda sio mrefu
Hivi Matip karudi kutoka injury?
Kwa hiyo ina maana huyo dogo Ki-jana atakuwa backup hiyo Jumamosi?
“I know people want to win every game and see the same players week in, week out, but somebody has to make the decisions and in that case, I am the man for [doing] that.”Hatuna depth kabisa, tunahitaji kusajili watu wa uhakika watano. Kaniudhi sana Klopp kwenye hii game ya Wolves.
Anasababisha tuishi kwa shida mitaani na mitandaoni.
fukuzaa kabisa hiyoWewe na kakundi kako hapa mmeisha puuzwa!
Tusikuione tena hapa ww na wenzako kuja kushangilia team ikishinda!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Timu ngumu hamjaifunga hata moja chelsea kakutoa karabao na ulinusurika kupigwa kwake shukran kwa sturidge haya city kachukua point 4 kwako
Mlidanganywa na vimech vya man united na arsenal wazaifu
Ukija uefa hujashinda hata mech moja ugenini hata red star umeshindwa kumfunga mmewahi kujiuliza?
Huyo wolves mgumu sana kishakutanguliza
Kazi kulaum kocha tu
“I know people want to win every game and see the same players week in, week out, but somebody has to make the decisions and in that case, I am the man for [doing] that.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu walimpigia debe sana Milner achezeshwe namba mbili badala ya TAA, nadhani leo kucheza kiungo mkabaji ameshatoa somo kuwa kukaba kuna wenyewe na si kila mtu!
Milner umri umeshakuwa kikwazo kwako cha kuwa kumkimbiza mtu hata mita 15m
Jamani huyu Mignolet kipa kweli huyu??????????
Makombe haya ya KIPUUZI yangechosha tu wachezaji!Mwaka huu ni EPL au CL period sio sijui upuuzi wa FA na Carabao
Klopp anaenda na EPL na CL.Period
Sent from my iPhone using JamiiForums