Kama karanga kweli anaweza kuzichambua lakini sio soka,mtu anafikia kusema trent ndio best fullback epl nzima hahahaaaaaaUyo King Ngwaba Si ndo anajulikana apa kama mchambuzi bora kabisa wa soka!!!
Au..!!??
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahahahaha amechanganyikiwa uyoooKwahiyo na joginho mumeshamsajili?kweli kichapo noma mpaka unatamani joginho angekuwa liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani JF yote Jukwaa la michezo limeahamia kwenye uzi wa Liverpool...kweli this shows it's coming HOME!
Hiz pumba zako uwe unajaza kwenye uzi wenu
Super powers hutolewa macho na kila mmoja, wanawanga kila siku kutuona lini tuta fallWashabik wote wa Mpira mpk wa mpira wa pete wapo kwenye uzi wa LFC kwel kizur cha jiuza kibaya cha jitembeza
Njoon tu maana kama mnapigwa 5,3 ,8,6, sasa unafikir mtajadil nini huko kwenu kama sio vipigo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpinzani wetu kwa sasa ni city na spurs na nina jua hizo timu hazina washabik bongo ila zina washangiliaji so maneno ya hawa vilema wengine wa the gono, cheshit, nyumbu hata yasitutibue maana timu zao hazijiwezi kwa sasa tukaacha kujadil soccer letu la LFC kwan kwa sas tuko kwenye hatua ngumu kidogo ktk race hiii ya Epl kwan spurs na man city zinajaribu kuleta chachu ya ushind wetu huu wa EPL but we believe kwamba mambo yatakuwa sawa tu mtu afe,mtu avunjike shingo, mtu avunjike bandama EPL lzma ikae Anfield kwa msimu huu
Kama ww the gono, chelshit , nyumbu kikikuingia ukaumia bas chomoa uende zako
Sent using Jamii Forums mobile app
You mean Fabinho!
Sawa nifungie huyo City, ukija kwangu utoke draw ukikosa kupigwa....Katika timu msimu huu HAZITONIFUNGA basi ni MAN CITY na LIVERPOOL.
Kwani unatesekaa..???
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mkimfunga Mancity kwakweli ntafurahi sanaHahahahaha unaeza shangaa Man city akachakazwa vibaya ukabaki mdomo wazi.
Sasa kufungwa nyie ndo kufungwa sisi.?
Au mumejiaminisha kuwa nyie ni bora kuliko sisi.?
Mpira hauko ivyo mkuu.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app