Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
real talents kabisa kama VVD guys....Mimi wasiwasi wangu ni mmoja tu!
Kuwa Klopp kamtoa Clyne ili kuwahakikishia nafasi Milner na Henderson.
Hapo huenda Klopp Akamchezesha Milner Right back na Henderson akawa hana Mpinzani katikakati.
We are dying slowly
Lakini kwa Upande mwengine wa shilingi nimefurahi kutolewa kwake!
Mkuu tumeshachoka mateso ya Wachezaji kama hao.
Tumekuwa nao sasa kwa zaido ya miaka 5 na hawajatupa chochote! Niwazi kuwa Wameshashindwa sasa kuwapa tena muda kwa kuamini eti wataleta mafanikio ni kituko mkuu.
Mkuu hao wameshashindwa! Sasa ni wakati wa Kwatoa Failures na kuingiza New Face bazo ni talented ili kupambana.
nice all th dead woods waodoke tu ili wapishe wengine waje kutuimarisha au vijana wa under 23 wapate nafasi kuingia 1st team...Pia Dominick Solanke kajiunga na hao hao Bounemouth...
Alberto Moreno......loading....
Sent using Jamii Forums mobile app
Camacho heading on loan pia...Pia Dominick Solanke kajiunga na hao hao Bounemouth...
Alberto Moreno......loading....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mchambuzi hewaTimu yetu kwa kuangalia kipaji cha mchezaji mmoja mmoja ni dhaifu kweli lakini upambanaji wao umeficha udhaifu wake!
Ila kocha kuwafavour wachezaji walio vipenzi vya Waingereza kunafanya tuwe exposed ule udhaifu wetu.
Hivi Fabinho ajitahidi vipi ili aaminiwe na Klopp?
Hivi ni kweli Fabinho hawezi kucheza mbele ya Henderson na Milner?
Hii ni sawa na Mourinho kutaka kuwaaminisha watu kuwa Felaini ni bora kuliko Pogba.
Timu yetu so dhaifu kiasi hicho ila Klopp ndiye anafanya tuonekane dhaifu.
Utakuwa unaota uku umelala uchiMimi bila ya wasiwasi wowote ninaamini kuwa baada ya Michezo hii 6 basi Man City tutamuacha kwa Points 10.
Hamuwezi chukua ubingwa nyie. Majogoo micheleKwa Mara ya kwanza Natamka Bila ya Woga wowote nikiwa Ninajiamini kuwa "LIVERPOOL FC NDIYE BINGWA WA EPL 2018/2019"
ASIEAMINI ATUNZE HII COMMENT KWA AJILI YA REFERENCE
Uwe na tabia ya kujibu vitu kwa hoja mtu kaandika kitu kwa hoja na wewe jibu kwa hoja ............ Sio una QUOTE mtu unaandika mipasho mipasho ya kijinga
Wafanye mpango aje huyo Koullibaly kumreplace Galasa la Croatia
Kwaiyo unataka ngumi au?Uwe na tabia ya kujibu vitu kwa hoja mtu kaandika kitu kwa hoja na wewe jibu kwa hoja ............ Sio una QUOTE mtu unaandika mipasho mipango ya kijinga
Uwe na tabia ya kujibu vitu kwa hoja mtu kaandika kitu kwa hoja na wewe jibu kwa hoja ............ Sio una QUOTE mtu unaandika mipasho mipango ya kijinga
hope kuna option ya kununua as th season ends wabaki nae mazima...Hope he will never come back as a Liverpool's player katika viunga vya Melwood
Breaking | Nabil Fékir left out of Lyon’s 18-man squad to face Bourges Foot in the Coupe de France with no explanation. Not believed to be injured.
Naona mitandao ya ufaransa yasema hivi. Sasa sijui Liverpool tunataka tufanye yetu kutokana na mauzo ya solanke na mshahara wa clyne
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's wait & see Kops, Wan Bissaka might be our January new signing.
can see mwisho wake
but wont be suprised if itaanzishwa against Bayern