Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
beki zisipande kwa dk 20-30 za mwanzo tu.... baada ya hapo City watakuwa wapo frustrated, ndipo sisi tunaanza kanyaga twende.
Kuweni wakweli vijana Hivi huyo TAA anamzidije uwezo kieran Trippier au Cesar Azpilicueta au Luke Shaw au Wan Bissaka
Nataka na napenda kuwa mshabiki wa Soka na sio ushabiki upofu
Kwanza huyo mimi sijamjua ni mshabiki wa timu gani! Inawezekana Kaanza kufuatilia mpira msimu huu ndiyo ikawa hajui kuwa katika Midfield tulikuwa Oxlade Chamberlain wakati tunawafunga Man City
Heshima yako Mkuu, samahani lakini, ila Leo bikira lazima ivunjwe.Na hili ndiyo siku zote ninaloliamini kuwa Man City ukifanikiwa kuwazuia dakika 20 za mwanzo basi hawakufungi tena
Heshima yako Mkuu, samahani lakini, ila Leo bikira lazima ivunjwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ni liver ma mpira nafatilia tangu torres yupo liver... am 22 old nowNasubiri jibu lake, maana wengine ili mradi akosoe.
Sio kwamba majogoo watazembea na nimejaa kichwa kichwa kwa city hapana liverpool ni timu kubwa na naiheshimu sana
Nasubiri jibu lake, maana wengine ili mradi akosoe.
Usiogope mkuu WE ARE LIVERPOOL
Kabisa mkuu liverpool ni mpinzani wangu namuombea njaaaaaaaaaaaaaKwa mshabiki yeyote wa mpira ukiacha wa Liverpool ataomba Liverpool ipoteze ili ligi iwe balanced.
Ni sawa na mwaka jana wakati Liverpool anamfunga Man City kwenye EPL, kila mshabiki alishangilia.
Au ile 2004 October wakati mnamfunga Arsenal 2 - 0 kumaliza ile unbeaten run ya Invisibles.
Tatizo kuna watu hawajui kama kuzungumzia mpira ni kipaji na sio kila mtu tu anakuwa na uwezo wa kuzungumzia mpira
mimi ni liver ma mpira nafatilia tangu torres yupo liver... am 22 old now
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu liverpool ni mpinzani wangu namuombea njaaaaaaaaaaaaa