Kwasasa TAA si bora Liverpool tu! Bali ni Best Right Back EPL nzima!
Anaebisha na Abishe Mimi ziwezi kunishana nae.
Leo zamu yenu kufungwa wakuu mvumilie tu kisha tunamalizia dakika 90 za mpira utoe maajabu.
Ondoa wasiwasi mkuu ntakuja yakitokea maajabu ya mpiraBaada ya dakika 90 pia tutazihitaji Comments zako
Leo zamu yenu kufungwa wakuu mvumilie tu kisha tunamalizia dakika 90 za mpira utoe maajabu.
Kwasasa TAA si bora Liverpool tu! Bali ni Best Right Back EPL nzima!
Anaebisha na Abishe Mimi ziwezi kunishana nae.
Lineup zikitoka ulete zote mkuu za timu mbiliUshindi wa Man city leo ni draw
Nitakupa final confirmation lineup zikiachiwa
Lineup zikitoka ulete zote mkuu za timu mbili
Haya mkuu pamoja sana ngona tusubir mechUshindi wa Man city leo ni draw
Nitakupa final confirmation lineup zikiachiwa
saa Tano kamili masaa ya Afrika Mashariki.
alias Alpine MessiXherdan Shaqiri - aka Power Cube
Luke shaw hana tofauti na hance masoud wa allianceKuweni wakweli vijana Hivi huyo TAA anamzidije uwezo kieran Trippier au Cesar Azpilicueta au Luke Shaw au Wan Bissaka
Nataka na napenda kuwa mshabiki wa Soka na sio ushabiki upofu
Maajabu ya mpira yakoje hayo?Ondoa wasiwasi mkuu ntakuja yakitokea maajabu ya mpira
Subir dakika 90
Ungeyaweka sawa ili usibadili maneno yako, je maajabu ni Liverpool kumfunga Mancity au ni Mancity kumfunga Liverpool?Subir dakika 90
mpaka hapa mbio na tamuu maana naona hata St Marys wanawatoa jashoo hivyo nyie tena kwenye ubingwa naona mmepotea kimtindo tukutane msimu ujao tena EPL....Mbio za ubingwa zitakuwa wazi zaidi Leo baada ya city kunipigia vijogoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipenda kusikia liverpool anashinda?Ungeyaweka sawa ili usibadili maneno yako, je maajabu ni Liverpool kumfunga Mancity au ni Mancity kumfunga Liverpool?
Sent using Jamii Forums mobile app