Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.View attachment 982567
Rabbiot kasema Spurs SIO LEVEL yake,miaka ya nyuma kabla ya Klopp wachezaji kama Willian na huyu Shaqir walisema Liverpool sio leve yao!
Akianza kutukanwa Klopp huwa najiuliza mengi sana na kuwaza ina maana watu wameisha sahau jinsi tulivyokuwa trash hadi wachezaji wazuri wana tukataa?
I will Never disrespect the genius Klopp
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?
Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?
Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.
Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.
Ukweli mchunguMechi na aseno Emirates alicheza fabby ns hendo hakuwepo nazani tuliona jinsi torrira na aseno yao walivyotukimbiza mpaka tulikoma, ikaja mechi na red Star, tulipata tabu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua Kupigia Mbuzi Gita?
Usidhani kama anafahamu chochote unachoweza kumfahamisha...
Bora hata ungeendelea kumpuuza coz hana jibu wala hoja ya kukupa Bali atakuja na Mipasho ya Kuwa unasema KLOPP OUT.
Kila la Kheri Mkuu
Kuna mtu alisema katika mechi ile trent alimpoteza aubaTena mechi na Aseno Emirates na Red star, TAA alicheza hovyo sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mechi na Aseno Emirates na Red star, TAA alicheza hovyo sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya Anfield Torreira alikuwepo, Hendo hakucheza, je ulimwona akifanya aliyoyafanya Emirates?
Fabinho alikuwa ndo anaanza kuchezeshwa, improvement imeonekana, BTW wewe umekiri kuwa Fabinho, Gini na Keita wanatakiwa waanze mbele ya Hendo kwa sababu tunatafuta ushindi?
Ulikuwa na maana gani? Kwamba mechi ambazo hatuhitaji ushindi ndo Captain aanze au siyo? Kama ndo hivyo mbona tunaongea lugha moja.
Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.
[emoji102] [emoji100] [emoji100]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana jamaa jinsi anavyojikanyaga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo nasubiri atujibu hiyo quote tuone ana maanisha nini kusema Gini, Keita na Fabinho wanatakiwa kuanza kwa sababu tunahitaji matokeo.
King ,Hili jambo la mchezaji kucheza inategemea mechi inahitaji kitu gani siwezi kutumia nguvu nyingi kuwambia gemu ya buyern hendo ,milner wataanza , mechi ya city pia kama ni wazima wataanza ,pia spurs ,Chelsea ,man utd theater of dreams wataanza.sijasema gemu ya arsenal na utd anfield hazikuwa ngumu ila nachosema nilikisema kwa Napoli pale Liverpool atakapohitaji matokeo kwenye mechi win/lose not any result hao ndugu hendo na milner hawazuiliki ,unaweza Fanya majaribio ya fabihno,keita ,shaqir kwa arsenal yenye injury nne ya beki,same to man utd yenye internal misunderstanding, ila sio kwa Napoli,buyern,city,Chelsea,spurs ,PSG .ukijaribu tutakutana hapa kutoa pole.Heri ya mwaka Mpya wadau mnapofukuzia EPL kwa Mara ya kwanzaNahisi anamaanisha kuwa Kuna Mechi tuwachezeshe GINI-FABINHO-KEITA kwa ajili ya kutafuta ushindi.
Lakini kuna mechi tusitafute ushindi kwa kuwachezesha hao! Bali tucheze tu kwa ajili ya Kuwapa Support Hendo na Lallana na tuwapange Hendo-Milner-Lallana.
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?
Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?
Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.
Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.
Tuendeleeni kumui ignore huyu jamaaMechi ya Man Utd siyo muhimu?
Mechi ya Arsenal siyo Muhimu?
Mkuu hao watu unaowataja wana uelewa mkubwa wa kuchambua mpira hapa kwenye jukwaa, tunaiona michango yao na kuielewa.
Tunaomba na wewe uwe unaweka analysis (pre and post match) ili tuuone uwezo wako wa kiuchambuzi ili tuseme kweli unachokiamini unaweza kukitetea.
Tegemea povu la jamaa au kleesoft kuhusu hii post mkuu......mimi nimenyut hapa pembeni.
[emoji102] [emoji100] [emoji100]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahKaka wewe kaa pembeni mm hawa naendelea kuwanyoosha,hawajui lolote ktk soka hawa kazi yao kutuandikia makala ndefu takataka kabisa ndani
Kaa pamoja na Unai atawapa raha sana hapo siku za mbele,hawa waliwahi andika hapa kama ukichanganya Barca na Liverpool hamna mchezaji wetu atakaye anza
Upuuzi mtupu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
JD kakukosea nini ndugu yang,Welcome Back AOC
Endelea kupambana kujiweka fiti.
View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613
Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda Namba 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland [emoji23][emoji23]
Namba 8 gani asiyejua Kuassist wala kuscore [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
β’ GINI haekeki bench
β’ FABI naye ameshajihakikishia nafasi
β’ Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje πππ
Na bado pana Keita hapo.
Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool ππ
Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer [emoji23][emoji23][emoji23]
King King ,Hili jambo la mchezaji kucheza inategemea mechi inahitaji kitu gani siwezi kutumia nguvu nyingi kuwambia gemu ya buyern hendo ,milner wataanza , mechi ya city pia kama ni wazima wataanza ,pia spurs ,Chelsea ,man utd theater of dreams wataanza.sijasema gemu ya arsenal na utd anfield hazikuwa ngumu ila nachosema nilikisema kwa Napoli pale Liverpool atakapohitaji matokeo kwenye mechi win/lose not any result hao ndugu hendo na milner hawazuiliki ,unaweza Fanya majaribio ya fabihno,keita ,shaqir kwa arsenal yenye injury nne ya beki,same to man utd yenye internal misunderstanding, ila sio kwa Napoli,buyern,city,Chelsea,spurs ,PSG .ukijaribu tutakutana hapa kutoa pole.Heri ya mwaka Mpya wadau mnapofukuzia EPL kwa Mara ya kwanza