Hakuna cha ukweli wewe mwenyewe umekili kuwa hii ni liverpool bora toka ile ya miaka ya 70s....ila jambo la msingi ni makombe na future ipo ila katika soka lolote linaweza tokea so tusubiri.Kusupport Nilichokiandika Manayake hapa umeshamkana Rafiki yako Malafyale kwani yeye anaamini Liverpool hii ni bora zaidi ya Hata Barcelona au Man City inayotetea Kombe.
Kama huamini pitia Posts zake Jana uone ujumbe anaotupa kuhusu wachezaji wetu na Barcelona.
Na anaamini Klopp Ni Best Coach kwa Liverpool kuliko aliyekwisha kutupa mafanikio kuliko Benitez.
Sawa nashangaa kuniambia Nimeongea ukweli! 😀😀
Kumbe ukweli munaujua bali huwa munaleta unafiki wenu tu [emoji23][emoji23]
wanapasha kujiweka sawa gemu ijayo Ethad...Leo naona Man City kaibuka na moto baada ya Majeruhi wake Kupona 😀😀
Huu ni unafki mwingine rejea mechi ya wolvers hata youtube then mcheki jamaa mule alivyopiga kaziKwani Kuna Siku Huyu Fake Captain aliyowahi kucheza vizuri?
Kwahiyo nisifie hewa au?
3rd january loading.........Leo naona Man City kaibuka na moto baada ya Majeruhi wake Kupona 😀😀
Mkuu Mangi naona leo umepata ushindi, hongera..Atakaemfunga Liverpool basi na ubingwa utaanza kuota mbawa pale anfild
Je kuna fans wa Liverpool anaamini team yake haitafungwa msimu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
chief wewe champions league unayo??angalau hata moja tu!!Beba EPL kwanza maana wanaume wote wana EPL mkononi wewe huna chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wameambiwa wana roho ngumu kama mgambo.🙂🙂Kuna mijitu ina vichaa vigumu sijui nini kila mtu ana aina yake Mungu alivyomuumba Mtu jana kapigwa Goli 5 kama wamesimama vile lakini haoni aibu kila Dakika yupo humu tu Hahahahaha
Kwann unaliwazia Sana Chelsea...why not man city ama tot ambao wako karibu na wewe.Na kesho kuna kila dalili kuwa Chel[emoji90] analiwa 😀
Mkuu tumia lugha nziri mbona ujumbe unafika safi tuWe mbuzi wa cheltako kuona mnaongoza huko dhidi ya palace umukuja kuandika uhalo wako huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nakuuliza hayo makombe hatujashuhudia?
Yaani mpira ucheze wewe tena kwako halafu unaambulia sare? Liver akicheza mpira halafu kwake lazima mtu ale tanoKwani game ya kwanza pale emirates ulikifanya nini?niwakubali kwa lipi wakati tulisuluhu na mpira nlicheza mimi dk zote kaangalie takwimu urudi na usiwe unakurupuka kama umetoka usingizini.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si una timu yako? Mbona unadandia za wenzio, tuache tubishane na man city wewe ushapigwa tano kausha
Kuna watu ni waajabu sana Haiwezekani shabiki wa Arsenal akawa busy na Fixtures ya Liverpool kuliko ya timu yakeWewe si una timu yako? Mbona unadandia za wenzio, tuache tubishane na man city wewe ushapigwa tano kausha
Sina mkuu....chief wewe champions league unayo??angalau hata moja tu!!
Zipo 18 mkuu wewe unazo ngapi?Sina mkuu....
Na wewe nakuuliza una english premier league cheaf? Hata moja tu.(nijibu kama nilivyokujibu please)
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ninayo ya kutosha chief...(kama jibu langu limekutatiza anzisha mjadalaSina mkuu....
Na wewe nakuuliza una english premier league cheaf? Hata moja tu.(nijibu kama nilivyokujibu please)
Sent using Jamii Forums mobile app
Viumbe tumetofautiana mkuu na malezi nayo yanachangia....ingawa factor kuu zinazoaffect human growth ni mazingira na urithiMkuu tumia lugha nziri mbona ujumbe unafika safi tu
hata mimi nitasaidia kuisave nakuhakikishia mimi sio plastic fan nitakuwepo hapa kuwatia njaa kingazi na masika....................najua uwepo wa hizi shangwe zenu ni upepo tu,ukitoboa huu mwaka bila tundu kutobolewa mimi najipiga lifeban ..TUOMBE UZIMA
Hahahahahahah na siku mkipigwa lazma nije kusafisha humu kwa kutoa upukupuku wa ushabiki maandazi humu....ntawaban isha wa kutosha kwani lazma muumuke labda muacha jamvi mkimbieWewe si una timu yako? Mbona unadandia za wenzio, tuache tubishane na man city wewe ushapigwa tano kausha