Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli ni usaliti nakumbuka ronaldo aliambiwa ataondoka msimu unaofuata wa 2009/2010 alikubali ina maana angeandoka msimu wa 2008/9 kuchukua uefa ingekuwa vigumu alifunga goli muhimu sana kwetu nimekuelewa.
Hii gemu ili fanya nisimkubali Cr7 mpka leo.

Enewei yalishapita na maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavyo wapanga kama kweli vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipe link na mimi nikasome yote ayo..

Maana nyinyi wengi mnaijua Liverpool kutokana na history yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira bila unafki hauendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe LECAPITAIN HENDO akicheza vizuri unamsifiaga?acha unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako wewe ni ipi hapo sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui wanajisikiaje huko thamani yao ilikua kubwa sanaaa wakajifanya wanaweza kuishi popote wakasahau Liverpool ndo iliowang`arisha laana iwatafune hadi wajenkuomna radhi.

Naamin Faby kaja baada ya Can kuringa.
Can soon ananyanyua kwapa kule kwa coutinho tayari wewe baki na dua zako mbaya wenzako malengo yanatimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…