Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
matokeo ambayo Alhamisi tunayahitaji ni mawili tu adiha ushindi or droo.....The time ambayo City alikuja Anfield alikuwa na target ya droo, sisi ndo tulihitaji ushindi zaidi ingawa matokeo ya droo hayakuwa mabaya.
This time City desperately needs to win, while a droo to us is very favorable.
Kwa hiyo Klopp ataweka kikosi ambacho in every means ni kuhakikisha hatufungwi, hatahangaika kutafuta ushindi, ila ukija itakuwa shangwe.
DullyJr , Ollachuga Oc na Mwenyeji wenu ambaye ni Mshabiki wa Liverpool ipogolo
Mtaongea Mengi Mwaka Huu!
Sasa Mumeacha Kuzungumzia Mpira Munafanya Mashambulizi kwa Washabiki Wa Liverpool.
Mimi Na Wataka Makombe Wenzangu Hatujutii tuliyoyafanya tokea Msimu Wa Mwanzo Wa Klopp! Mambo tuliyoyafanya ni:
1) Tulimkataa BENTEKE tukashambuliwa na kuitwa Wasiliti, lakini hatimae Klopp kamuondoshwa.. Kwahiyo Klopp kaungana na sisi kwenye usaliti Wa Timu.
2) Tuliwakataa Sakho, Moreno, Klavan na Lovren kuwa si Mabeki ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Hatimae Klopp Kawaondosha Sakho na Klavan, Na Moreno na Lovren kawaeka pembeni! Lovren sasahivi anacheza kwasababu wenyewe GOMEN na MATIP ni injury.
Kwahiyo hapa pia Klopp Kaungana na sisi katika usaliti.
3) Tuliwakataa Mignolet na Karius na tukasema ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Kwahiyo Klopp kaungana na sisi katika Usaliti kwa Kumleta ALISSON.
4) Tulilia sana kuwa Kiungo Mkabaji halisi ni FABINHO na si HENDERSON! Tukaitwa Wasaliti! Sasa Klopp ameshirikiana na sisi kwenye Usaliti kwani Anamchezesha FABINHO tuliyempigia kelele.
Hao wote tuliowalilia hapo juu tuliambiwa Kuwa sisi Hatujui Soccer Management.
Kwahiyo Kitendo cha Klopp Kutompanga Mignolet golini, Na Kutomchezesha Moreno beki 3, na Kuwaondosha Klavan na Lovren kwenye Beki 4 na 5, na kumchezesha FABINHO namba 6! Ni kwamba na Klopp pia Hajui tens Soccer Management!.
Hivi mpaka leo Kikosi Hichi kingelikuwa
FIRMINO - BENTEKE - MANEHao waliokuwa Wakituita Sisi kuwa NI WASALITI na HATUJUI KITU leo hii wangeliyaona haya?
LALLANA - HENDO - GINI
MORENO - KLAVAN - LOVREN - CLYNE
MIGNOLET
Au hawajui kuwa PRESSURE kutoka Dunia Nzima za WASHABIKI KAMA SISI LIVERPUDLIANS DIE HARD FANS ndiyo kilichomfanya Klopp akawanunua kina ALISSON, VVD, ROBERTSON, SALAH, XHAQIRI, FABINHO na KEITA ?
Kwa Usaliti huu Wa Kutaka Mafanikio basi bora Niwe Msaliti Siku Zote.
Na Kwa Upenzi Wa Kukubali Vipigo Kama Misimu Miwili na Nusu ya Klopp iliyopita kisa tu eti Niwakubali Wachezaji Hata Kama Wabovu! Basi Sitokuwa na Upenzi huo.
Ni kweli mumejenga timu na matunda yanaonekana. Apo Klopp anahitaji pongezi za kutosha
Kwanini mliwanunua wachezaji ambao hamkuwa na future nao? Moreno mpka analalamika ubaguzi wa klopp unazani hilo liko sawa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao sakina Fab & its company wana gemu zao za katikati ya wiki.Mbona huzungumzii kina FABREGAS kupigwa benchi so FABREGAS alinunuliwa wa nini??
Kila kitu kina mahala pake sahihi katika muda sahihi
Yaan kwa akili yako Moreno acheze Robertson apigwe bench ww utakua punguani kias gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Alim'beba vipi mkuu.? Kusingekuwa na malalamiko kwake.Klopp siyo mbaguzi kwa Moreno, bali uwezo wa Moreno ni mdogo when compared to Robertson, na kwa kipindi tulichopo no room for errors.
After all Klopp alimbeba sana Moreno.
Hao sakina Fab & its company wana gemu zao za katikati ya wiki.
Sasa Klopp kawabagua kabisa akina Sturrigde, Moreno ...hakuna gem hata moja wanapangwa.
Watapataje uzoefu kama mambo ndo hayo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa 17:50 njoo hapa useme tena Hata maneno na wala usije ukakimbia kama AROON alivyokimbia Jana.
Matokeo ya Leo:
Crystal Palace 2 - 1 Chelsea
Itakuwa 16:50...
kina moreno,sturridge na mignolet mbona walipangwa kwenye carabao dhidi ya chelshit na badala ya kupambana ili kumconvice coach wakaboronga tukatolewa sasa kama walipewa nafasi ya kuonesha kuwa wanauwezo wa kuichallenge first 11 ya klopp wakashindwa wewe ulitaka wapangwe kwenye epl na uefa ili tuwe tayari tumeshatolewa uefa na huku epl tuwe tunastruggle kufight nafasi ya 6?Hao sakina Fab & its company wana gemu zao za katikati ya wiki.
Sasa Klopp kawabagua kabisa akina Sturrigde, Moreno ...hakuna gem hata moja wanapangwa.
Watapataje uzoefu kama mambo ndo hayo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu huko wamekua sehem ya mafanikio wakati Liver walikua ndo mafanikio yenyewe.Club zao zinaongoza ligi na wananafasi ya kutwaaa makombe kila mwaka point yako ni ipi mkuu?
mkuu wewe hujamwelewa huyu jamaa wa chelshit yeye alitaka hao kina moreno wacheze ili uefa tayari tuwe out na epl tuwe nyuma yao kama vile walivyotutoa carabao sababu ya haohao kina morenoMbona huzungumzii kina FABREGAS kupigwa benchi so FABREGAS alinunuliwa wa nini??
Kila kitu kina mahala pake sahihi katika muda sahihi
Yaan kwa akili yako Moreno acheze Robertson apigwe bench ww utakua punguani kias gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa mnaburudisha sana siamini kama unaeza mtakia salama mtu aliefanikiwa mikononi mwako halafu akaja kukuletea dharau za wazi kabisa.Jamaa wanaroho Mbaya sana ndio maana hawana sportsmanship kwa wachezaji wao ambao sio 1st 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawez kupata heshima kama walivyokuwa wakipata liverpool sababu hizo timu zimewakuza kisoka kule wamefata mafanikio na pesa kama ronaldo tu na manchester united madrid hakupata heshima kama tuliyompaPoint yangu huko wamekua sehem ya mafanikio wakati Liver walikua ndo mafanikio yenyewe.
Labda unambie wanapata heshima kama waliokua wanaipata Liverpool.
cc radika
kina moreno,sturridge na mignolet mbona walipangwa kwenye carabao dhidi ya chelshit na badala ya kupambana ili kumconvice coach wakaboronga tukatolewa sasa kama walipewa nafasi ya kuonesha kuwa wanauwezo wa kuichallenge first 11 ya klopp wakashindwa wewe ulitaka wapangwe kwenye epl na uefa ili tuwe tayari tumeshatolewa uefa na huku epl tuwe tunastruggle kufight nafasi ya 6?
Sent using Jamii Forums mobile app
nafikiri hatupo serious hadi tuwaombee majanga ya kuwa majeruhi bin-adam wenzetu sema tu tunaongea kiushabiki tunaelewa pia kuwa kuna factor nyingi zinazofanya mchezaji kuhama timu na mojawapo ni maslahi mazuriHao hawajui maana ya ushabiki, wanataka mchezaji abaki tu timu moja na akiondoka wanamchukia mazima na kufikia hatua ya kumuombea mabaya.
Kama kupata majeruhi, aanguke afe....
Sent using Jamii Forums mobile app