OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Kwa niaba ya Arsenal EPL wana mda hawajabeba, lakini vikombe vingine wamebeba. FA, community shield..nyie arsenal mnamisimu mingapi?
Sportsmanshiphongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........
hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee
hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa
Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.
ASUBUHI NJEMA.
THIS IS FOOTBALL.
Hahahahahahahahahahahahahahahaha ndio maana demu wako amekutongozea demu mwingine hahahahahahahahahaKwa niaba ya Arsenal EPL wana mda hawajabeba, lakini vikombe vingine wamebeba. FA, community shield..
Sasa wewe Liverpool una misimu mingap hujabeba kombe lolote lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama wewe si shabiki wa arsenal sina haja ya kujibizana na wewe...πππso wewe ni shabiki wa chelshit πππ timu iliyokaa miaka zaidi ya 100 kabla haijabeba epl!!do me a fevaor bro..kabishane na nottingham forest ndo size yako em too huge for you!!Kwa niaba ya Arsenal EPL wana mda hawajabeba, lakini vikombe vingine wamebeba. FA, community shield..
Sasa wewe Liverpool una misimu mingap hujabeba kombe lolote lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Hill jukwaa mashabiki niliokuwa nawaona kila daily tangu liver inasota mpaka leo ni watatu tu.
Lakini sasa naona kundi jipya kabisa la mashabiki na sijui muda wote walikuwaga wapi ..hongera nyingi ziende kwake Malafyale kama shabiki bora wa Liverpool kwake hali zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mshukuru refa kawaokoa..Mkuu ni shabiki wa Chelsea huyo tatizo lake huyo kila timu pinzani inayocheza na Liverpool anakuwa upande wa pili
Hii ni sababu nyepesi sana. Mkianza kupoteana muwepo pia.
Sio kuondoka na kumwachia jukwaa Malafyale au King gwabwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa useme una misimu mingipa unapita hola bila kombe ..achana na maswala ya cjui miaka 100 uko ayo yalishapa maana makombe tumechukua.kama wewe si shabiki wa arsenal sina haja ya kujibizana na wewe...[emoji3][emoji56][emoji3]so wewe ni shabiki wa chelshit [emoji3][emoji3][emoji3] timu iliyokaa miaka zaidi ya 100 kabla haijabeba epl!!do me a fevaor bro..kabishane na nottingham forest ndo size yako em too huge for you!!
Kwa iyo wewe una amini hii ndo Liverpool bora kuwahi kutokea kuliko Liverpool zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaha mkuu unajua kutongozewa demu na demu wako ni kitu cha kushangaza sana hahaahahaha ..Hahahahahahahahahahahahahahahaha ndio maana demu wako amekutongozea demu mwingine hahahahahahahahaha
Mpira una matokeo matatu ..sasa yeye kakubali kuwa kashindwa. Sasa ulitaka asemeje?hakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Bora yeye amekubali sisi ni bora zaidi nnao huku mashabiki wa aseno bado wanasema tumebahatisha kwa kubebwa na refahakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Ni kweli mumejenga timu na matunda yanaonekana. Apo Klopp anahitaji pongezi za kutoshaDullyJr , Ollachuga Oc na Mwenyeji wenu ambaye ni Mshabiki wa Liverpool ipogolo
Mtaongea Mengi Mwaka Huu!
Sasa Mumeacha Kuzungumzia Mpira Munafanya Mashambulizi kwa Washabiki Wa Liverpool.
Mimi Na Wataka Makombe Wenzangu Hatujutii tuliyoyafanya tokea Msimu Wa Mwanzo Wa Klopp! Mambo tuliyoyafanya ni:
1) Tulimkataa BENTEKE tukashambuliwa na kuitwa Wasiliti, lakini hatimae Klopp kamuondoshwa.. Kwahiyo Klopp kaungana na sisi kwenye usaliti Wa Timu.
2) Tuliwakataa Sakho, Moreno, Klavan na Lovren kuwa si Mabeki ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Hatimae Klopp Kawaondosha Sakho na Klavan, Na Moreno na Lovren kawaeka pembeni! Lovren sasahivi anacheza kwasababu wenyewe GOMEN na MATIP ni injury.
Kwahiyo hapa pia Klopp Kaungana na sisi katika usaliti.
3) Tuliwakataa Mignolet na Karius na tukasema ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Kwahiyo Klopp kaungana na sisi katika Usaliti kwa Kumleta ALISSON.
4) Tulilia sana kuwa Kiungo Mkabaji halisi ni FABINHO na si HENDERSON! Tukaitwa Wasaliti! Sasa Klopp ameshirikiana na sisi kwenye Usaliti kwani Anamchezesha FABINHO tuliyempigia kelele.
Hao wote tuliowalilia hapo juu tuliambiwa Kuwa sisi Hatujui Soccer Management.
Kwahiyo Kitendo cha Klopp Kutompanga Mignolet golini, Na Kutomchezesha Moreno beki 3, na Kuwaondosha Klavan na Lovren kwenye Beki 4 na 5, na kumchezesha FABINHO namba 6! Ni kwamba na Klopp pia Hajui tens Soccer Management!.
Hivi mpaka leo Kikosi Hichi kingelikuwa
FIRMINO - BENTEKE - MANEHao waliokuwa Wakituita Sisi kuwa NI WASALITI na HATUJUI KITU leo hii wangeliyaona haya?
LALLANA - HENDO - GINI
MORENO - KLAVAN - LOVREN - CLYNE
MIGNOLET
Au hawajui kuwa PRESSURE kutoka Dunia Nzima za WASHABIKI KAMA SISI LIVERPUDLIANS DIE HARD FANS ndiyo kilichomfanya Klopp akawanunua kina ALISSON, VVD, ROBERTSON, SALAH, XHAQIRI, FABINHO na KEITA ?
Kwa Usaliti huu Wa Kutaka Mafanikio basi bora Niwe Msaliti Siku Zote.
Na Kwa Upenzi Wa Kukubali Vipigo Kama Misimu Miwili na Nusu ya Klopp iliyopita kisa tu eti Niwakubali Wachezaji Hata Kama Wabovu! Basi Sitokuwa na Upenzi huo.
kama wewe si shabiki wa arsenal sina haja ya kujibizana na wewe...πππso wewe ni shabiki wa chelshit πππ timu iliyokaa miaka zaidi ya 100 kabla haijabeba epl!!do me a fevaor bro..kabishane na nottingham forest ndo size yako em too huge for you!!
Sijawapangia muda, ila kwanini Liverpool ikipotea na nyie mnapotea?Unatupangia wakati wa kuingia humu sio?
Sijui wanajisikiaje huko thamani yao ilikua kubwa sanaaa wakajifanya wanaweza kuishi popote wakasahau Liverpool ndo iliowang`arisha laana iwatafune hadi wajenkuomna radhi.Msalimie Emre Can na Coutinho
Wameshindwa hoja sasa wanaleta vioja! Hakuna mtu kamili hata klopp na yeye hajakamiliki like the rest of us, so sometimes anakosea tu na anahitaji kurekebishwa.DullyJr , Ollachuga Oc na Mwenyeji wenu ambaye ni Mshabiki wa Liverpool ipogolo
Mtaongea Mengi Mwaka Huu!
Sasa Mumeacha Kuzungumzia Mpira Munafanya Mashambulizi kwa Washabiki Wa Liverpool.
Mimi Na Wataka Makombe Wenzangu Hatujutii tuliyoyafanya tokea Msimu Wa Mwanzo Wa Klopp! Mambo tuliyoyafanya ni:
1) Tulimkataa BENTEKE tukashambuliwa na kuitwa Wasiliti, lakini hatimae Klopp kamuondoshwa.. Kwahiyo Klopp kaungana na sisi kwenye usaliti Wa Timu.
2) Tuliwakataa Sakho, Moreno, Klavan na Lovren kuwa si Mabeki ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Hatimae Klopp Kawaondosha Sakho na Klavan, Na Moreno na Lovren kawaeka pembeni! Lovren sasahivi anacheza kwasababu wenyewe GOMEN na MATIP ni injury.
Kwahiyo hapa pia Klopp Kaungana na sisi katika usaliti.
3) Tuliwakataa Mignolet na Karius na tukasema ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Kwahiyo Klopp kaungana na sisi katika Usaliti kwa Kumleta ALISSON.
4) Tulilia sana kuwa Kiungo Mkabaji halisi ni FABINHO na si HENDERSON! Tukaitwa Wasaliti! Sasa Klopp ameshirikiana na sisi kwenye Usaliti kwani Anamchezesha FABINHO tuliyempigia kelele.
Hao wote tuliowalilia hapo juu tuliambiwa Kuwa sisi Hatujui Soccer Management.
Kwahiyo Kitendo cha Klopp Kutompanga Mignolet golini, Na Kutomchezesha Moreno beki 3, na Kuwaondosha Klavan na Lovren kwenye Beki 4 na 5, na kumchezesha FABINHO namba 6! Ni kwamba na Klopp pia Hajui tens Soccer Management!.
Hivi mpaka leo Kikosi Hichi kingelikuwa
FIRMINO - BENTEKE - MANEHao waliokuwa Wakituita Sisi kuwa NI WASALITI na HATUJUI KITU leo hii wangeliyaona haya?
LALLANA - HENDO - GINI
MORENO - KLAVAN - LOVREN - CLYNE
MIGNOLET
Au hawajui kuwa PRESSURE kutoka Dunia Nzima za WASHABIKI KAMA SISI LIVERPUDLIANS DIE HARD FANS ndiyo kilichomfanya Klopp akawanunua kina ALISSON, VVD, ROBERTSON, SALAH, XHAQIRI, FABINHO na KEITA ?
Kwa Usaliti huu Wa Kutaka Mafanikio basi bora Niwe Msaliti Siku Zote.
Na Kwa Upenzi Wa Kukubali Vipigo Kama Misimu Miwili na Nusu ya Klopp iliyopita kisa tu eti Niwakubali Wachezaji Hata Kama Wabovu! Basi Sitokuwa na Upenzi huo.
Hawatahili huruma hata kidogo wametudhalilisha sanaaa natama wapate majeruhi kabsaaa ili wapoteeHahaha, wale sasa hivi wakirudi hawana namna, waendelee kukaa huko huko.
Ila Coutinho namwonea huruma sana.