Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mambo mengine yanashangaza hivi kati ya liverpool na arsenal nani kasota sana!!?
 
Binadamu hawazaliwi siku moja. Sio wote tulimuona Nyerere akipigania Uhuru wa Tanganyika miaka 59 iliyopita. Lakini tunashangilia Uhuru wetu leo.
Labda walikuwa shule, hawakuwa na " touch" bundle, walikuwa vijijini hakuna Umeme. Sababu zipo tele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo hali ipo kote ila hapa imezidi sana mkuu tofauti kabisa na chelsea,man utd na arsenal bigup mliverpool halisi Malafyale , ipogolo na wengineo ila hawa liverchipolopolo muwe nao makini sana
 
mambo mengine yanashangaza hivi kati ya liverpool na arsenal nani kasota sana!!?
duh mkuu wewe unavyojua liverpool mara ya mwisho kubeba ligikuu ilikuwa lini na arsenal ilikuwa lini?maana hapa hoja zetu zimelalia katika ligikuu.......ukijibu hilo ndio utuambie kilichokuchekesha ni nini.Ila wewe ni miongoni mwa mashabiki wa kweli wa liverpool japokuwa umepotea sana siku hizi umewaacha Malafyale ,MASAMILA , na ipogolo wanapambania timu yao humu
 
hahahahahahahahahahahahaaaaaaa tatizo halipo kwa hawa wapya tatizo lipo kwa wale glory hunter nafikiri umenielewa maana kila siku watu wanazaliwa na washabiki wa soka wanaongezeka ila kuna wale wenye vijicho wanachungulia ikiwa timu ipo good maneno mengi ikiharibu wanakuwa hawana bundle,wanakimbilia vijijini na visababu vingine tele........
 
duh mkuu wewe unavyojua liverpool mara ya mwisho kubeba ligikuu ilikuwa lini na arsenal ilikuwa lini?maana hapa hoja zetu zimelalia katika ligikuu.......ukijibu hilo ndio utuambie kilichokuchekesha ni nini.
alieyetoa hoja ya ligi kuu ni nani??liverpool kama zilivyotimu nyingine nia yake kuu ni kuchukua makombe yote inayoshiriki,haijalishi ni ligi kuu au carabao..unajua kwetu sisi mashabiki kikubwa tunachokitaka kutoka kwenye timu ni furaha maana kama timu ikipata pesa nyingi mimi sifaidiki na chochote kikubwa nipate furaha tu,ican guarantee you pamoja na kwamba sijabeba hilo kombe lako unalosema ila mimi shabiki wa liverpool ninafuraha miaka yote kuliko shabiki wa arsenal...mafanikio katika mpira sio kubeba kombe tu bali kuwa mshindani wa kweli..nmecheza fainali uefa,nimebeba uefa kombe ambalo timu yenu haijawa kuliona live mnaliona kwenye tv,nmecheza fainali ueropa league,nmekua contender wa ubingwa wa ligi mara kadhaa...nadhani furaha tunayoipata kutoka kwenye timu ndo kitu pekee kinatufanya tuendelee kuzipenda timu zetu..
 
Hii ni sababu nyepesi sana. Mkianza kupoteana muwepo pia.

Sio kuondoka na kumwachia jukwaa Malafyale au King gwabwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...tuahirishe kushangilia ushindi wa kumpiga mkono the Gono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho nyepesi shehe. Shuhudia akina KING wanavyoshambulia Hendo. Origi, lalana nk.
Klop mwenyewe tunamkosoa hajui kupanga team, hajui sub ( wanasahau super sub ya Origi na Sturridge). Ndio mashabiki@Dully.
Haaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaongea lugha zote, Mkono a.k.a Hamsa utabaki palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Anapewa heshima na Nani Wakati Mechi Kubwa Anaanzia Benchi?

Kila Mchezaji Wa Liverpool anapigania aanze Mechi ya Liverpool vs Man United lakini yeye Kaishia Kuwarm bench akaingia Sub..

Mechi ya Jana na Arsenal pia kaishia Kuanzia Bench wakati ni big Match..

Sasa kama kumkosea heshima basi ni Kocha ndiye anayemkosesha Heshima kwa Kumuanzisha kwenye Mechi za Kina Cardiff na Fulham, Huku akimueka Benchi kwenye Mechi Kubwa na Muhimu.

Kiongozi mzuri ni yule anayeoongoza Wenzake kwenye Mapambano Mazito, sio kuongoza kwenye Vibonde tu.

Sijengi Picha Akipona Chamberlain huyu Fake Captain sijui ataishia wapi πŸ˜€πŸ˜€

Coz kwenye Nafasi ya GINI na FABINHO sasa haigusiki πŸ˜€πŸ˜€

Na ambayo anashikashika kwa sasa ni Namba 8 ambayo mwenyewe Chamberlain ameshaanza kufanya Mazoezi πŸ˜€πŸ˜€

Soon tutaona GINI - FABINHO - CHAMBAERLAIN



Hendo ni Captain Wa Kikosi cha Hakiba πŸ˜€πŸ˜€
 
hongera na wewe kwa speech nzuri yenye maana halisi ya ushabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kujiuliza lakini sipati jibu sahihi .......... Sijui ingekuwaje humu Endapo Arsenal angepata matokeo hata ya Sare Anfield.
DULLYJR
AARON
wangeweka kambi humu wiki nzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…