sitaki hata kuzizungungumzia penat zilizotokea mkuu kwani naamini kabisa tumepoteza ila katika mpira haiko hivyo unavyotaka kuaminisha watu hivi hujui kuna matukio katika mchezo yanaweza kuathiri ari na morali za wachezaji uwanjani ikiwemo maamuzi ya refa,ila yote ya yote mlikuwa bora nyumbani kuliko sisi na kukubali kushindwa ndio sifa ya mchezoMkuu tusubiri panel ya kikao cha marefa kesho kama Salah alijiangusha kutafuta penati basi watamfungia...
aafu hata ukitoa magoli ya penati bado aseno kafa chaliiiiiiii bila ubishi...
aiseeeeee nimekubali mkuu yaani kumaliza game ya arsenal tu unatangaza ubingwa hahahahahaha hata mimi nakuunga mkonoNi imaginations tu mwana, it might not happen. Ila huwezi zuia emotions kama hizi hasa unapokuwa umemaliza game ya Arsenal kwa ushindi wa vile.
Hahaha mwl.kashasha banaKipigo alichopewa Arsenal kinaitwa compactory strict adjustment and demolition of non living objects
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujumbe wako ni hapo kwenye sentensi ya kufunga hesabu. Kuna watu watarushiana makopo kwenye majukwaa yao. Lets waithongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........
hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee
hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa
Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.
ASUBUHI NJEMA.
THIS IS FOOTBALL.
not sure Klopp il aim for a draw cz he never does, he will load his guns to shot accuratly wen given th chance reason City wont sit back n wait fot us to attack n them being at home il aim to win n at least reduce th points to four...
that being th case means City wil press high to score as early as possible n kill our momentum n that where we wil punish em cz wen they press n lose th ball they wil suffer our front three r used to shine on those situation...
am sure thier settin il differ ow they played first game at Anfield...
t il be an open game...
no one for sure.Hapo tunazungumzia bahati, mimi nimeuliza swali, tukiweka bahati pembeni, who can do the harm?
hahhahahhahhahahahahah na mimi nasubiri kwa hamu ndio maana hiyo sentesi nikaiweka mwishoni ili ionekane vizuri.........Mkuu ujumbe wako ni hapo kwenye sentensi ya kufunga hesabu. Kuna watu watarushiana makopo kwenye majukwaa yao. Lets wait
Sent using Jamii Forums mobile app
y
aiseeeeee nimekubali mkuu yaani kumaliza game ya arsenal tu unatangaza ubingwa hahahahahaha hata mimi nakuunga mkono
hahhahahhahhahahahahah na mimi nasubiri kwa hamu ndio maana hiyo sentesi nikaiweka mwishoni ili ionekane vizuri.........
Niamimi utapigwa tu tena si chini ya mech 3 tunza hii post.
Hiyo ni kawaida kwenye michezo, hakuna timu italast forever bila kufungwa.
Swali litakuja, ni nani unadhani ana uwezo wa kuifunga? Tukimtoa City.
Mkuu tunaongea ukweli kabisa. Kwa sasa mko moto inabidi muhakikishe mnachukua makombe bila hivyo mtakuja kuniona SOUTHERN HIGHLAND ni mbaya.Hahaha hatimaye wanakubali mdogo mdogo..
Last week ilikua zamu ya wale wa Chelsea kukubali akina Ollachuga na Southern Highland.. Eden Kimario sijui kama yupo hai..
Aroon ndugu zake wa Ass mtafuteni asije kuwa kashajinyonga huko [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ulijua kama city atapoteza kwa leicester na crystal palace?asiyelijua soka tu ndio anaweza toa comment kama hiyoMkuu naomba unitajie hizo timu, ila Man U haimo katika list naamini
City sio tishio kwetu!
Tishio halisi kwetu ni Man United.. Tuna rekodi mbovu kwao Hata Wanapokuwa Wabovu.
Never underestimate Man United wanpokutana na Liverpool.
Iwapo tutamalizana na Man United bila ya kufungwa Basi naweja kujigamba kuwa kwa zilizobakia hakuna Wa Kutufunga.
Naamini na wewe ni katika Wanaoamini kuwa Mpaka leo Gerrard ni Mchezaji Wa Liverpool!!
Kwahiyo bado unatarajia atakuja kujikwaa mechi ya mwisho ili tufungwe.
Mkuu Gerrard ni Kocha Wa Rangers kama hujui.
hongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........
hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee
hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa
Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.
ASUBUHI NJEMA.
THIS IS FOOTBALL.
Hahahaaaa... Alichokifanya Gerrard anaweza kukifanya hata VVD. So don't get it twisted.
Kwa taarifa yako Gerrard jana kashinda kamfunga kocha wake Rogers. Kwa sasa wanalingana point sema kazidiwa kwa goal difference.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ww leicester na crystal unawachukuliaje tuanzie hapo??wewe ulijua kama city atapoteza kwa leicester na crystal palace?asiyelijua soka tu ndio anaweza toa comment kama hiyo