Napata mashaka na uelewa wako juu ya Liverpool, slogan ya "You Will Never Walk Alone" ungeacha kumuandama captain wenu kwa matusi aliewafikisha hapo mlipo.Na Kikubwa Zaidi kinachonipa furaha Ni Kumuona Huyu Fake Captain Wetu anaanza kulizoea Bench kidogokidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani Captain mzima sasa hana uhakika Wa Kuanza 😀😀
Napata mashaka na uelewa wako juu ya Liverpool, slogan ya "You Will Never Walk Alone" ungeacha kumuandama captain wenu kwa matusi aliewafikisha hapo mlipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mpira unatambaa chini anataka kuucheza kwa kichwa.Nimecheka aisee
utawasikia mwezi huu mnafungika subirni....We are Liverpool
Next Manchester city
We go Again
hata mimi nitasaidia kuisave nakuhakikishia mimi sio plastic fan nitakuwepo hapa kuwatia njaa kingazi na masika....................najua uwepo wa hizi shangwe zenu ni upepo tu,ukitoboa huu mwaka bila tundu kutobolewa mimi najipiga lifeban ..TUOMBE UZIMA
Na kesho kuna kila dalili kuwa Chel💩 analiwa 😀
Next EPL games ni Manshit,Brighton, Crystal Palace n LeistaTumeianza Round ya 2 kwa Points 3 maridadi sana
***** mtu kapigwa quater pin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
msimu huu umeniweza mkuu,sasa pambania ubingwa tu