Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

SG anamfundisha mwalimu wake kazi..

Well done Captain fantastic
Rangers 1
Celtic 0

Kabla Ya Mchezo Wa leo Celtic alimnyanyasa Rangers mpaka inatia Huruma. 😡

Katika Michezo yao 14 iliyopita kabla ya Mchezo Wa leo.

• Celtic kashinda 12
• Draw 2
• Rangers
hajashinda Hata Mmoja.

Lakini leo Our greatest Captain ever Steven Gerrard kavunja uteja na kumfunga Celtic.
 
Kabla Ya Mchezo Wa leo Celtic alimnyanyasa Rangers mpaka inatia Huruma. 😡

Katika Michezo yao 14 iliyopita kabla ya Michezo Wa leo.

• Celtic kashinda 12
• Draw 2
• Rangers
hajashinda Hata Mmoja.

Lakini leo Our greatest Captain ever Steven Gerrard kavunja uteja na kumfunga Celtic.
Nimeitazama hii mechi baada ya mechi kuisha wachezaji na mashabiki walikuwa wanalia kwa furaha aisee dah
 
Kikosi
FB_IMG_1546101247262.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom