magazeti baada ya mchezo Dagaa yameza sato, akwama kooni watoka sare...! hongereni liva kwa kukamilisha mzunguko wa kwanza bila kupotezaBaada ya Kukamilisha Round ya Kwanza! Tarehe 29 December tunaanza 2nd round Kwa Kutafuna hichi Kidagaa:
Liverpool v/s Arsenal
magazeti baada ya mchezo Dagaa yameza sato, akwama kooni watoka sare...! hongereni liva kwa kukamilisha mzunguko wa kwanza bila kupoteza
Kumbe JK ana mkubali sana JH....nimeshangaa sana!!!View attachment 979283
Kumbe JK ana mkubali sana JH....nimeshangaa sana!!!View attachment 979283
Ukiisoma hiyo sentence kwa makini ni kama kuna chembe chembe ya maneno ya faraja.
Hakutakiwa kuanza na ...If somebody doesn't see his value...!
Most likely taarifa zimeshamfikia, ndo maana siku hizi anampanga na watu wa kumcover.
He has to praise himKumbe JK ana mkubali sana JH....nimeshangaa sana!!!View attachment 979283
Thank youMkuu kwani Klopp aliwahi kumponda Karius?
Hata baada ya Kutuulisha CL aliendelea kumsimu na kujiandaa kumtumia season hii.
Mkuu Klopp si Mourinho wakuwa Amkatae mchezaji hadharani.
Hata Mignolet aliyegeuka Sanamu la Liverpool basi ukimuuliza Klopp atakwambia "He is a brilliant Player".
BBC team of mid week (Boxing Day EPL matches)....
View attachment 979377
Kipa huwezi mjudge kwa clean sheet pekee maana sometimes unakuta uzuri wa mabeki ndio unasaidia clean sheet za kipa.... Kipa mzuri mpime kwa Save per goal ratio yaani kwa kila shuti linalolenga goli mangapi kaokoa na mangapi kafungwa.... Angalia reflexes na reactions....anticipations.... Positioning.... Hapo ndio utajua kipa gani bora ila kusema tu clean sheet ni sababu ya Alison unakosea maana ukiangalia zaidi utagundua defence ya Liverpool inaweza pia kuwa imechangia kuleta clean sheet na sio becker as becker
Kwa maoni yangu duniani hakuna kipa kama Oblak ndio kipa mwenye clean sheets nyingi zaidi ambazo sio sababu ya defence ya atletico bali Oblak ana save per goal ratio kubwa zaidi kuliko kipa yeyote yule duniani yaani kwa kila mashuti 6 on target anafungwa moja tu na save percentage yake ni 85% (ya juu zaidi ulaya) ndio maana thamani yake sokoni ni zaidi ya β¬100 Million ambayo imemzidi Allison kwa mbali sana kwa ufupi Oblak katika mechi 100 za kwanza za Atletico alikuwa kacheza mechi 60 bila kufungwa.... Huyo Alisson anaweza hilo??
Hakuna kama Oblak View attachment 979230
Kumbe JK ana mkubali sana JH....nimeshangaa sana!!!View attachment 979283
BBC team of mid week (Boxing Day EPL matches)....
View attachment 979377
Kilichomfanya Hendo kuwa hai mpaka sasahivi ni Kulegalega kwa Keita tu.
Lakini Keita angeperform vizuri basi hendo angelikwishakuwa ballboys kwasasa.
Hata hivyo Aombe Fekir, Ramsey au Rabiot mmoja wapo kati ya hao asijedondokea Liverpool.
Mina alipiga show ya nguvu aiseeOh my Fucking birthday!! π
Lovren ahead of VVD ? π
Mina ahead of Robertson ? π
Ryan ahead of Alisson? π
Even Mwinyi Zahera wouldn't do it π
Tomorrow we'll see Alex Iwobi ahead of Mo Salah! Trust me π
Ligi bado...scousers mta-bottle tu!
Mkuu ni vizuri kuja na data kama nilivyofanya sio maneno maneno tu ya vijiweni tuipe hadhi JF.....narudia tena hakuna kipa dunia hii kama Jan Oblak kwa takwimu zoteeeUlitaka Kipa acheze bila beki? Hata Alison anazuia mashambuliz mengi hatari! Ungekuwa unafatilia mechi kuanzia ile ya Napoli had juz newcastle jamaa kaokoa mipira ya hatar sana ambayo kiuhalsia angekuwa kipa mwingine ni goli.
Kuhusu kuchukuliwa kwa β¬75 M unadhan thaman yake itakuwa haijapanda bado? Ni kama Salah aliyenunuliwa kwa β¬30M lakin kwa sasa bila β¬150 M humgusi.
Kwa takwimu zipi mkuu?? Ni matusi makubwa kumlinganisha Nabii Oblak na huyo ''bishoo'' wa Manchester.1,de gea
2.jan oblak