Nimemuona anakwenda mbele vizuri tu anafungua nakuomba pia ha ha haaa atabadilika ngoja tuonenaona vijana wanakusanya nguvu kwa ajili ya Gooners.
aisee ila Fabinho kaleta mambo..... hivi mmemuona leo Hendo ana dribble na ku take on? competition ni afya!!
MO Salah kwa penaltyWakuu nipeni Update goli la pili kafunga nani? Sikuliona coz nilikuwa Masjid
Lovlen ndo haponi ugonjwa wake mipira ya vichwa anazidiwa sana ujanja nimesha muhesabia mitatu kayumba leo
Klopp announce six weeks for Hendo
GINI OUT
FABI IN
Kwahiyo Hendo atasogea mbele kidogo, sivyo?