Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Huyu Xhaqiri siku zote ninaamini kuwa ni mchezaji wa kipindi cha Pili 😀😀😀😀
You said it earlier chief...
Kwakweli yajayo yanafurahisha sana aisee
Huyu Xhaqiri siku zote ninaamini kuwa ni mchezaji wa kipindi cha Pili 😀😀😀😀
Leicester city
2-1 dakika Ya 84Ngapi ngapi?
Ngapi ngapi?
Leicester 2Ngapi ngapi?
Man city kashajinyea ,dah
Sasa hiv et ubingwa unafukuziwa na tot na liver
Epl ina maajabu yake,ngoja tuone
Kumbe city bila fernandinho hamna kitu
To be Honest Mwezi wa Mei Nategemea Kufunga Ndoa Zanzibar! Yani itakuwa ni zaidi ya Ndoa tutabeba ubingwa katika mwezi huo