Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niliyoyaona katika FT:

Combo ya HENDO - GINI - XHAQ is not suitable for us! Production yake ni below 50%

Mara nyingi hupenda kusema Xhaqirir ni mchezaji mwenye impact kubwa anapotokea sub kuliko anapoanza! Anapoanza anakuwa yupo slow sana.

Kwavile ni mchezaji anayeproduce akiwa sub, huenda 2nd Half akaja kivyengine
 
naona vijana wanakusanya nguvu kwa ajili ya Gooners.

aisee ila Fabinho kaleta mambo..... hivi mmemuona leo Hendo ana dribble na ku take on? competition ni afya!!

Mwanzo alijiamini sana kuwa ni irreplaceable na ndiyomana alikuwa hajitumi!

Lakini kuibuka kwa Fabinho katika hizi games 4 zilizopita zimemfanya ashtuke kuwa hii timu si ya Familia yake anaweza kutupwa nje ya Fence na ucaptain wake.

Sasa atajituma
 
Niliyoyaona katika FT:

Combo ya HENDO - GINI - XHAQ is not suitable for us! Production yake ni below 50%

Mara nyingi hupenda kusema Xhaqirir ni mchezaji mwenye impact kubwa anapotokea sub kuliko anapoanza! Anapoanza anakuwa yupo slow sana.

Kwavile ni mchezaji anayeproduce akiwa sub, huenda 2nd Half akaja kivyengine

Gini and Hendo struggling to combine kwenye buold-up play hence Shaqiri anashindwa kuwa involved much
 
Henderson was beyond average in that half, offering absolute nothing chief

entire midfield is struggling going forward.
with the Magpies offering no threat in attacking sense, my gut guess is the boys have been asked to take it easy after the lead, mindful of the next game.
 
with the Magpies offering no threat in attacking sense, my gut guess is the boys have been asked to take it easy after the lead, mindful of the next game.

The midfield is just rigid chief

though i'd stick with it for today

need to take advantage kuhusiana na bad form ya City
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom