OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Leo matokeo yatakuwa hiviTunacheza nyumbani leo hatuna chochote cha kutuzuia tusiondoke na point 3 against Newcastle
We go Again
MO Salah leo anarudi kwenye nafasi yake, usikae mbali na luninga yakoLeo matokeo yatakuwa hivi
Liverpool 1- Nu Casto 2 or
Liverpool 2- Nu Casto 3 or
Liverpool 2- Nu Casto 2
Either Nu Casto or Draw.
Nu Casto leo atawashangaza.!
Unajua kuwachawiaLeo matokeo yatakuwa hivi
Liverpool 1- Nu Casto 2 or
Liverpool 2- Nu Casto 3 or
Liverpool 2- Nu Casto 2
Either Nu Casto or Draw.
Nu Casto leo atawashangaza.!
Leo matokeo yatakuwa hivi
Liverpool 1- Nu Casto 2 or
Liverpool 2- Nu Casto 3 or
Liverpool 2- Nu Casto 2
Either Nu Casto or Draw.
Nu Casto leo atawashangaza.!
Just know that, huwa nakukubali sana Comrade kwa uchambuzi wa facts humu ndani.
Tunapata kujifunza mengi ya nyuma ya pazia hata yaliyojificha. Bravo #YNWA
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..Ww uliwaombea man u waifunge liver wakapigwa 3
Unataka kutuwangia na arsenal
Sis hii vita tuachie wenyewe tunajua tutaimaliza vip hapo anfiled
Ukishatuombea tushinde ibakuwa vice versa
Kama ulivyofanya kwa man u
Naby Keita hayuko fiti Kwa 100% bado ana slightly pains, Kwahiyo sidhani kama atacheza leo! Hata hivyo wazungu Kwa Pain killer hawachelewi anaweza akafungwa sindano ikiwa atahitajika.
Then Upo sahihi isipokuwa tu Kwa Angle ninayoutazama Mimi Mpira bado nahisi GINI ndiyo Engine ya Timu yetu kwasasa kwenye Midfield!
Kwa gharama yoyote hile hapaswi kuekwa juu.
All in all tumuachie Kocha atakachotupangia.
Wewe una misimu mingap hujamaliza juu ya Chelsea?? Ukitoa ule msimu m'bovu wa Mourihno..Ww je, leo unavutwa shat na watford
Nakushusha hapo juu
Arsenal anaenda anfield labda ashinde njaa kwa majeruhi aliyonayo kwenye defence kwa sasaHahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..
Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.
Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...
Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
Nitakutafuta baada ya saa 20:00 usikuLeo matokeo yatakuwa hivi
Liverpool 1- Nu Casto 2 or
Liverpool 2- Nu Casto 3 or
Liverpool 2- Nu Casto 2
Either Nu Casto or Draw.
Nu Casto leo atawashangaza.!
Yani hawa leo hawatoki.Unajua kuwachawia
Mm naomba waombee washinde ili wafungwe
Maana mdomo wako upo vice versa
Uliombea wapigwe na man u wakashinda
Leo nawaombea sare kwanza ,
Then raund ya pili watadakwa vzr tu
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..
Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.
Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...
Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
Salah leo hata shot on target hatopiga.MO Salah leo anarudi kwenye nafasi yake, usikae mbali na luninga yako
Hiyo game inategemea na hali ya kikos cha arsenalHahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..
Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.
Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...
Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
huyu na Ben Chilwell wa liesta ni majembe sana....Huyu Wan-Bissaka anatufaa sana huyu
Brighton sio rahis kunifunga ,Wewe una misimu mingap hujamaliza juu ya Chelsea?? Ukitoa ule msimu m'bovu wa Mourihno..
Leo Brighton anakuwasha za kutosha ili uwe na hasira za kum'maliza Liverpool..
Mpira una matokeo matatu.Chama lako siku zote ni yule mpinzani ninaecheza nae siku zote hata leo upo Niucasto....
mtapata taaba sanaa msimu huu
Salah leo hata shot on target hatopiga.
Baada ya kipigo kikali kutoka kwa Nu casto.Nitakutafuta baada ya saa 20:00 usiku