Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Only two teams in the last 10 years have been top of the Premier League at Christmas failed to win the title:

2008/09: Liverpool
2013/14: Liverpool

This is the 3rd time.

Naona baada ya kukazwa na Vardy umeamua kuja kivyengine?

Vipi next game tutatoka kwa Newcastle?

Coz kila game mulikuwa munatupigia ramli kuwa hatutoki!!!

Only One team in EPL in the last 10 years imemfunga Bingwa mtetezi katika home ground Yake, Na kufungwa na Leicester City katika home ground Yake.

1) Chelshit
 
ila hawa Spurs si wa kuwadharau kabisa. wapo vizuri sana aisee.
naoina 3-horse title race msimu huu.

Tatizo la Spurs Ni moja tu! Anapokutana na timu ya Top 6 huwa hatabiriki na Ndiyomana Tumemfunga sisi, Kafungwa na Man City, Kafungwa na Arsenal...

Yeye Kamfunga Man United na Chelsea..

Sasa usijeshangaa kwenye 2nd round akafungwa yeye na Chelsea kisha na sisi kama kawaida yetu Anfield hawezi kutoka salama.

N Mara hii bingwa anahitajika asifanye kosa lolote kwa Vibonde wala Top 6.

Kwahiyo Karibu Spurs ataachia Ngazi na kupotea kwenye Tittle race.
 
Hii race ya msimu huu ni ya ajabu sana, inahitaji perfectionism kuanzia game za top 6 mpaka hizi za chini.

Nakumbuka 2016/2017 tulikusanya 18 points kwa top teams (hatukufungwa) isipokuwa hizi timu za chini ndo zilituharibia, sasa hivi unahitaji walau droo kwa wale unaoshindana nao na wale wa chini ushinde karibia game zote.
 
Kabisa
 
Mkuu naona umeingia kichwakichwa kwa huyo jamaa! Kama huamini subiri atakapokuja tena uone...

Hapo anatafuta mtu abishane tu huyo na ndiyo umeshaingia basi ataanza na wewe.

Na ndiyomana sikuhizi watu washamjua Post zake wanazipuuza tu na kumuachia Washabiki Wa Arsenal ndiyo wenziwe hao unaomuona anawaita Washabiki Halisi.
Du! Ngoja niwe mtazamaji nami!
 
Liverpool msipochukua ubingwa msimu huu hamtakuja kuchukua ubingwa tena.

Morali itaisha, wachezaji watachoka. kwa hiyo madogo kazeni City anachechemea, Tot hana ubavu wa kushindana nanyi, Chelsea kwa sasa hana competitive advantage kwenye ligi may be mpaka tufanye usajili, hao Arsenal hawana lolote la maana.
 
Only two teams in the last 10 years have been top of the Premier League at Christmas failed to win the title:

2008/09: Liverpool
2013/14: Liverpool

This is the 3rd time.
hivi huko Chelshit kuna uzi wa ramli maana mnapeana zamu kuwanga humu tangu ligi inaanza mnahangaika sana na Liverpool hii...

Haya endeleeni kuumia maana ni kama ramli zenu zinakua blessing in disguise...

hatupoi kwa maneno ya wakosaji, nyinyi mjifariji tu kutua humu maana ndio mlilobakisha baada ya kuchezea vipigo...

Bring th Black n White Army nao wachezee kama wengine....
 
Naona baada ya kukazwa na Vardy umeamua kuja kivyengine?

Vipi next game tutatoka kwa Newcastle?

Coz kila game mulikuwa munatupigia ramli kuwa hatutoki!!!

Only One team in EPL in the last 10 years imemfunga Bingwa mtetezi katika home ground Yake, Na kufungwa na Leicester City katika home ground Yake.

1) Chelshit
Niulize game yangu na Watford hao Newcastle kapambane nao na watafute wenzako mdiscuss pamoja.

Sijawahi kuja kuponda kila game nadhani umenifananisha na watu wengine.
 
Mkuu nilicho paste hapo ni sawa sawa na kutoa statistics za game fulani. Sasa hili povu lote la nini kwa kuwa nimeongelea record yenu mbaya.?
hivi huko Chelshit kuna uzi wa ramli maana mnapeana zamu kuwanga humu tangu ligi inaanza mnahangaika sana na Liverpool hii...

Haya endeleeni kuumia maana ni kama ramli zenu zinakua blessing in disguise...

hatupoi kwa maneno ya wakosaji, nyinyi mjifariji tu kutua humu maana ndio mlilobakisha baada ya kuchezea vipigo...

Bring th Black n White Army nao wachezee kama wengine....
 
Liverpool msipochukua ubingwa msimu huu hamtakuja kuchukua ubingwa tena.

Morali itaisha, wachezaji watachoka. kwa hiyo madogo kazeni City anachechemea, Tot hana ubavu wa kushindana nanyi, Chelsea kwa sasa hana competitive advantage kwenye ligi may be mpaka tufanye usajili, hao Arsenal hawana lolote la maana.

Game ya City na Liverpool inaweza kuwa ni ya mapema lakini ina nafasi kubwa sana ya kuleta picha.

Kama City atashinda, kombe anachukua kwa sababu nina uhakika January jamaa lazima afanye usajili kwenye defense ambako naona kumekuwa loose, akifanikiwa hapo anapita.

Liverpool kitakachombeba ni ushindi hiyo game ili atengeneze gape la 7 points, najua kwa uzito wa kikosi chetu kupoteza kupo, hasa Feb na March ambapo kutakuwa na UEFA, FA, Premier na International Games, sasa kama ikitokea hivyo na huku City anashinda itakuwa changamoto sana.

All in All, bado kwangu naona kama City ndo atakuwa bingwa, labda yeye mwenyewe ajipoteze kama vile Klopp alivyosema, "Only City can stop City".
 
Boxing Day fixtures.

huwa ninakuwa supporter wa legend Rafa kokote anakokwenda (nilim mute briefly alipokwenda Chelsea though).

kwenye EPL msimu huu, my second club ni Newcastle (because of Rafa).

lakini on the Boxing Day....... sorry Mr Benitez, you're on your own dude!

20181223_210816.jpg
 
View attachment 975668

Still I'm with him! But only after 90 minutes
 
Kama atafanya usajili anaweza akarudisha changamoto upya. Game yenu kazi ipo. Hapa ligi ndio inapoanza kuwa nzito tena baada ya dirisha dogo kufungwa.
Game ya City na Liverpool inaweza kuwa ni ya mapema lakini ina nafasi kubwa sana ya kuleta picha.

Kama City atashinda, kombe anachukua kwa sababu nina uhakika January jamaa lazima afanye usajili kwenye defense ambako naona kumekuwa loose, akifanikiwa hapo anapita.

Liverpool kitakachombeba ni ushindi hiyo game ili atengeneze gape la 7 points, najua kwa uzito wa kikosi chetu kupoteza kupo, hasa Feb na March ambapo kutakuwa na UEFA, FA, Premier na International Games, sasa kama ikitokea hivyo na huku City anashinda itakuwa changamoto sana.

All in All, bado kwangu naona kama City ndo atakuwa bingwa, labda yeye mwenyewe ajipoteze kama vile Klopp alivyosema, "Only City can stop City".
 
Game ya City na Liverpool inaweza kuwa ni ya mapema lakini ina nafasi kubwa sana ya kuleta picha.

Kama City atashinda, kombe anachukua kwa sababu nina uhakika January jamaa lazima afanye usajili kwenye defense ambako naona kumekuwa loose, akifanikiwa hapo anapita.

Liverpool kitakachombeba ni ushindi hiyo game ili atengeneze gape la 7 points, najua kwa uzito wa kikosi chetu kupoteza kupo, hasa Feb na March ambapo kutakuwa na UEFA, FA, Premier na International Games, sasa kama ikitokea hivyo na huku City anashinda itakuwa changamoto sana.

All in All, bado kwangu naona kama City ndo atakuwa bingwa, labda yeye mwenyewe ajipoteze kama vile Klopp alivyosema, "Only City can stop City".

Ukweli usiofichika Man City beki pekee ambaye Ni Kiwango cha uhakika Ni Laporte..

• Lakini Walker Ni uchochoro
• Otamendi Ni uchochoro
• Stones Ni uchochoro

Na kipa wao performance Yake kwa asilimia 100% inategemea ubora Wa mabeki wake tofauti na Alisson ambaye beki inapoyumba (Kama vs wolves) anakuwa Solid.
 
Kama atafanya usajili anaweza akarudisha changamoto upya. Game yenu kazi ipo. Hapa ligi ndio inapoanza kuwa nzito tena baada ya dirisha dogo kufungwa.

Dirisha la usajili linafunguliwa January lakini si kwamba Mchezaji atapatikana tarehe 1 January ili atumike tarehe 3 January.

Kumbuka Hata ukishapigishana kelele na Mawakala pamoja na timu zinazowamiliki basi Mchezaji utaanza kumtumia February.

City tunachezanaye tarehe 3 ambapo hatokuwa na Mchezaji mpya.
 
Nazunhumzia ligi kwa ujumla siyo game yako pekee.
Dirisha la usajili linafunguliwa January lakini si kwamba Mchezaji atapatikana tarehe 1 January ili atumike tarehe 3 January.

Kumbuka Hata ukishapigishana kelele na Mawakala pamoja na timu zinazowamiliki basi Mchezaji utaanza kumtumia February.

City tunachezanaye tarehe 3 ambapo hatokuwa na Mchezaji mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom