Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Apigwe tu

Bado yule CAN sijajua maisha yake kule.

i only watch Serie A kama nahitaji kuscout players

not a fan of serie A to be honest

but kwenye few matches nilizoangalia za Juve this season (tried to watch Cancelo) nimeona Allegri ana-prefer zaidi mid ya Bentacur/Pjanic/Matuidi, always thought he'd replace Matuidi eventually, but Di marzio reports zinasema Juve are in talks with Ramsey now. so if Ramsey signs for Juve. Can atakuwa na wakati mgumu zaidi, but he's only 24 so bado ana muda wa kujiongeza

i dont blame Emre can, because alikuwa ni Victim wa Echo agendas, the club drove him out. nothing more, case yake ni tofauti sana na ya Coutinho
 
You'd think Fergie amerudi jinsi medias zinavyo-hype ushindi wa Utd against Cardiff City lol

story of the week should be a struggling Palace beating Pep's team, but its United, so tutasikia kila aina ya neno because they beat a team which employs defender kama Bamba
 
Iwapo tutabeba Ubingwa basi Mtu hanielezi chochote Bali nitahesabu kuwa waliotupa Ubingwa Ni ALISSON, GOMEZ na VVD.

Kufunga kwenye season mbili zilizopita tulifunga Magoli mengi lakini mwisho Wa Siku tulikuwa tukigombania Top Four Kwa sababu ya Makipa Wabovu (Karius & Lovren) na Mabeki Wazembe (Lovren, Klavan na Moreno).

Kwani magoli waliyokuwa funga kina Mane, Firmino, Coutinho na Salah hayakuweza kusaidia chochote kwenye Mataji.

Lakini season hii tumefunga Magoli Machache tu, Ila nasisi tumefungwa Machache kiasi ya Kwamba Defence inatuokoa kila Mchezo.

Sir Alex Ferguson: "Attack wins you a game, Defence wins you a tittles "
Bila kumsahau "ROBBO". I call him "un sung hero"
 
Jamani Mungu-Mtu Pep Guardiola kawaje tena?
Klopp IS NOT A WORLD CLASS MANAGER ndiyo maana BVB walimruhusu kuondoka!
Sasa self claimed god of football wenu mbona anafungwa na CL tena 3 tena kwake jamani?
Mungu anazidi umbua watu hapa eheheheeh!
Klopp tufikishe Caanan salama!
 
Jamani wana Liverpool halisi tunao kuwa chini ya Klopp na wachezaji hata siku tumepoteza mchezo tuendelee kushikamana!
Klopp alipo chukua team akituhaidi kuwa baada ya miaka minne kamili ndiyo tutaanza kuona mafanikio,nina amini alisema kweli!
Tuna games mbili ngumu Anfield na NC na Arsenal,tuzidi kushikamana
 
our legend SG doing his thing in the Scottish Premiership. he's up there vs his former boss (BR)....trying to knock him off his perch!

1545579281299.png
 
Only two teams in the last 10 years have been top of the Premier League at Christmas failed to win the title:

2008/09: Liverpool
2013/14: Liverpool

This is the 3rd time.
 
Jamani wana Liverpool halisi tunao kuwa chini ya Klopp na wachezaji hata siku tumepoteza mchezo tuendelee kushikamana!
Klopp alipo chukua team akituhaidi kuwa baada ya miaka minne kamili ndiyo tutaanza kuona mafanikio,nina amini alisema kweli!
Tuna games mbili ngumu Anfield na NC na Arsenal,tuzidi kushikamana
Kukosoa haimanishi timu haipendwi tembelea hata thread za wapinzani wetu wanakosoa na kulaumu endapo timu ikipata matokeo mabaya kwa uzembe wa wachezaji au kocha kupanga kikosi vibaya so mie sioni tatizo ni jambo la kawaida kukosoa
 
Mkuu naona umeingia kichwakichwa kwa huyo jamaa! Kama huamini subiri atakapokuja tena uone...

Hapo anatafuta mtu abishane tu huyo na ndiyo umeshaingia basi ataanza na wewe.

Na ndiyomana sikuhizi watu washamjua Post zake wanazipuuza tu na kumuachia Washabiki Wa Arsenal ndiyo wenziwe hao unaomuona anawaita Washabiki Halisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom