Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.

Keep on dreaming...
 
Deluded MOFOs like you are allowed to exist to make us laugh..

Stay here until the very end mofo.. You haven't seen Liverpool FC at our best yet.
 
Kajina kanakuumiza haka haha

THE GONO tangu lin ww ukatuita liverpool au baada ya kukuita kajiba kabaya umeona usalimu amri

THE GONO nimerudia tena haya niue
Kumbe ni kajina kabaya mm sijui , ninachojua upo UKAMENI FC
 
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.

Wapiga ramli safari hii mna kazi, Our greatest trial was Napoli, from there mnatabir kwa upole😂😂😂😂😂😂😂
 
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.

Nilikuwa siamini kuwa Kuna Wazee Vijinini hapa TZ mpaka leo bado wanaamini Nyerere yupo Hai.

Lakini Leo Nimeamini!!!! Kumbe Kuna Watu Wanaamini Kuwa Kina Gerrard, Skirtel, Lucas, Ngog, Ibe, Suso, Kolo Toure, Sakoh bado wapo Liverpool???

Haya Wapigie Ramli wajikwae.
 
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Safari hii huu uchawi hautushiki, na Mungu wa kusikiliza maombi hayo hayupo, labda yule wa kuchonga.
 
Ukweli usiofichika Mwaka 2013/14 kilichotukosesha ubingwa si Gerrard kujikwaa na kuanguka Bali Ni Defence.

Katika Huu Msimu 2013/14
•Tulifunga Magoli 101
• Tulifumgwa Magoli 50
• Clean sheet 12 tu

Hivi timu iliyoconcede magoli 50 Ni ya kuishangaa kukosa ubingwa?
Au kwenye Michezo 38 ya msimu mzima unatoa Clean sheet 12 then unashangaa kukosa ubingwa?

Rodgers defence Yake Mbovu aliyoshindwa kuiboresha ndiyo iliyomponza.

Sasa hii defence imemponza Klopp kwa Misimu 2 iliyopita mpaka akaja kushtuka Msimu huu baada ya Pressure kubwa kutoka Kwa Washabiki Kama sisi ambao tulionekana Wasaliti kwa Kipindi hicho tulichokuwa tukimlilia Klopp kuhusu defence ya timu.

Kwani kama tungelimuunga Mkono na si kumlilia na kumkosoa Imani Yake juu ya ubovu Wa Defence basi mpaka Leo tungelikuwa na Defence ya Mignolet/Karius, Lovren, Klavan na Moreno.
Tusingelimuona Gomez, VVD wala Robertson.

Sir Alex Ferguson: "Attack Wins You a Game, Defence Wins You a Titles "
 
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
mnaishi kwa kukariri ndugu, hayo ya Gerrad yalishapita na sasa tupo kivingine na mnaishi kwa wasiwasi maana kila mkipiga ramli tutapigwa sie haoooo tunatoa vipigo na kujikusanyia pointi....

YNWA
 
Haha
Huyu CAN

Alikuwa kasha aminiwa na kocha namba yake ilikuwa ipo ila sasa huko hata hatumsikii

Lakini sio mbay yy ndio amepelekea tumepata kiungo mzuri kbs ambae hana Maneno mengi na mtu kwenye pitch bwana FAB mwache huko si alitaka timu kubwa
kabisaaaaa yaaani hapa hakuna pengo la CAN wala C10, na kama vile kuodoka kwao ilikua baraka kwetu....

na pia C10 ambae mauzo yake yalisaidia ela kumnunua VVD, na cheji ikabaki...
 
Ukweli usiofichika Mwaka 2013/14 kilichotukosesha ubingwa si Gerrard kujikwaa na kuanguka Bali Ni Defence.

Katika Huu Msimu 2013/14
•Tulifunga Magoli 101
• Tulifumgwa Magoli 50
• Clean sheet 12 tu

Hivi timu iliyoconcede magoli 50 Ni ya kuishangaa kukosa ubingwa?
Au kwenye Michezo 38 ya msimu mzima unatoa Clean sheet 12 then unashangaa kukosa ubingwa?

Rodgers defence Yake Mbovu aliyoshindwa kuiboresha ndiyo iliyomponza.

Sasa hii defence imemponza Klopp kwa Misimu 2 iliyopita mpaka akaja kushtuka Msimu huu baada ya Pressure kubwa kutoka Kwa Washabiki Kama sisi ambao tulionekana Wasaliti kwa Kipindi hicho tulichokuwa tukimlilia Klopp kuhusu defence ya timu.

Kwani kama tungelimuunga Mkono na si kumlilia na kumkosoa Imani Yake juu ya ubovu Wa Defence basi mpaka Leo tungelikuwa na Defence ya Mignolet/Karius, Lovren, Klavan na Moreno.
Tusingelimuona Gomez, VVD wala Robertson.

Sir Alex Ferguson: "Attack Wins You a Game, Defence Wins You a Titles "
Mkuu umeongea fact tupu kiukweli ishu ya defense mbovu ni problem ya mda mrefu sana kwani kipindi chote hicho ambayo tulikosa ubingwa tulikuwa tuna concide goli nyingi sana hata pale ambapo attacking ilikuwa ni moto wa kuotea mbali
 
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Hizo ni ndoto mkuu. Wapiga ramli kila siku mkizidi kutupigia ramli sisi tunaendelea kushinda tu
 
Yaani mpaka saizi tunaelekea game ya 19 tumefungwa goli saba tu kwenye ligi, this is massive improvement kwenye backline yetu aisee.

Iwapo tutabeba Ubingwa basi Mtu hanielezi chochote Bali nitahesabu kuwa waliotupa Ubingwa Ni ALISSON, GOMEZ na VVD.

Kufunga kwenye season mbili zilizopita tulifunga Magoli mengi lakini mwisho Wa Siku tulikuwa tukigombania Top Four Kwa sababu ya Makipa Wabovu (Karius & Lovren) na Mabeki Wazembe (Lovren, Klavan na Moreno).

Kwani magoli waliyokuwa funga kina Mane, Firmino, Coutinho na Salah hayakuweza kusaidia chochote kwenye Mataji.

Lakini season hii tumefunga Magoli Machache tu, Ila nasisi tumefungwa Machache kiasi ya Kwamba Defence inatuokoa kila Mchezo.

Sir Alex Ferguson: "Attack wins you a game, Defence wins you a tittles "
 
Kama kukosa ueropa msimu uliopita kwny fainali dhidi ya dortmund ni uzembe wa moreno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom