... holiday season on top, waiting our loyal servant Benitez hahahaha game tamu sana hii dah leo kuna mtu kichapo kinamnukia kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ila nilisema kuwa mnagongwa 3 kwa 1 so utabiri upo palepale
Fabinho has transformed our midfield
Henderson had the best game of the season so far
look how Fabinho complemented him, today hendo was even able to turn on the ball and make progressive passes, and that happens when you have a top CDM besides you (remember the way SG complemented Hendo in 2013/14)
after this season, Fabinho will prove to be one of the Top top top top Klopp signings at LFC.
Our very own Sergio Busquets. couldnt ask for more from him
World Class player
Alaaaahh kumbe!!!?MOTM kwangu ni Captain Hendo
Na wakati kwenye Defensive role ameshaprove failure basi Ni bora achezeshwe katika attacking role kama alivyochezeshwa Leo na asirudishwe tena katika DM.
Sure jamaa DM yake very positively aisee he shots he assist he create chances...Fabinho tayari anaelekea kujihakikishia namba katika Kikosi cha kwanza

This game looks done ; sasa tuwasubir the gunners
Jamani teundelee kuwa karibu na team
Mambo mazuri yanakuja
Tumempiga Wolves aliye semwa kama ni mzuri sana kwake
Tumemaliza mzungoko wakwanza bila kupoteza kila la kher huenda ndo mwaka wetu huu