VVD IS EVERYTHING
vitoto vibishi hivi!!
Alipokuepo Gomez ilikuwa kawaida Robertson anapopanda kushambulia basi VVD anacover nafasi yake huku Gomez akisimama katikati...
Lakini leo Robertson anapokwenda kushambulia basi nafasi yake inabaki tupu hakuna wa kumzibia na ndiyomana kuna baadhi ya mashambulizi yanapita upande wakee.
Hii yote ni kutokana na kuwa VVD hawezi kuondoka kati na kumuachia Lovren kwani muda wowote Lovren anaweza kuchomesha.
We are waiting for you Gomez
Yan wanaumia haswa!The gono wanaumia sanaaa
Tunampiga 4 sasa kama hamuamini ngoja muone
KAAABISAABeki ghali duniani ukitaka kumtoa pale Mersey side weka mezani paund million elf moja
Kajipange upya na tunguli zako.tunaenda break tukirudi huko tunawapiga 3 zetu tunapaki basi
Nakuona hapo kwenye kona umetulia, mi nipo hapa mbele nasubiri salah afunge la tatu mpira uisheNaifatilia hii mechi