SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Sasa kama unamuulizia Salah aliyecheza msimu mmoja huu hajamaliza, fabinho ambaye ndo kwanza yupo msimu wa kwanza unataka nini hapo mzee? Maana wao hawana muda mrefu kwa ligi kama Ramsey au Ozilnyinyi mna ukame wa maana so huwezi fananisha na sisi mkuu,wote tuna njaa lakini njaa yako ni kali sana
Sahihi mlianza kwa vipigo baadae mkakaa sawa sana na hatimae ndani ya wiki mmeshikwa na butwaa...ahsante mkuu...kumbuka unai effect ilianza na kupoteza game mbili mwanzo wa msimu MAN CITY 2 vs ARSENAL 0 alafu ARSENAL 2 vs CHELSEA 3 na tumefunga 1st round kwa matokeo hayohayo SOTON 3 vs ARSENAL 2 then ARSENAL 0 vs SPURS 2 sasa tunaendelea na unbeaten run yetu ya game 22 hivyo najua ushaelewa kinachoendelea maana naanza na wewe mpaka zifike game 22...so jiandae kisaikolojia.....tar 29 nitakuwa hapa panapo majaaliwa ya MWENYEZIMUNGU
usikimbie hapa maana wengi wenu ni plastic fanSahihi mlianza kwa vipigo baadae mkakaa sawa sana na hatimae ndani ya wiki mmeshikwa na butwaa...
hio ya 29 kuwa makini usijipige BAN maana kwa sasa Anfield nyumbani kuna mawili tu yanayoedelea adiha mpigwe au mkibahatisha ni draw...
Nwei ngoja sie kesho tuzidi kuchaja mbuga baada ya kuwagonga wabishi wa vigogo Wolves...
muone ozil hapo nyinyi mara ya mwisho kubeba hilo tu kama mtoto kazaliwa na kashabalehe tayariSasa kama unamuulizia Salah aliyecheza msimu mmoja huu hajamaliza, fabinho ambaye ndo kwanza yupo msimu wa kwanza unataka nini hapo mzee? Maana wao hawana muda mrefu kwa ligi kama Ramsey au Ozil
Ndo EPL?muone ozil hapo nyinyi mara ya mwisho kubeba hilo tu kama mtoto kazaliwa na kashabalehe tayariView attachment 973444
soma nilichoandika kwanza then hata hivyo onesha la kwako kama hilo please lisiwe yale ya enzi za mwalimuNdo EPL?
Mkuu acha ku divert swali. Mimi nimeuliza hao niliowataja wameshawah kunusa EPL?soma nilichoandika kwanza then hata hivyo onesha la kwako kama hilo please lisiwe yale ya enzi za mwalimu View attachment 973453
na wewe ni wooden fan au metal fan maana kushabikia goonaz inabidi kua roho ngumu...kwa kweli nawapa big up...usikimbie hapa maana wengi wenu ni plastic fan
Akishinda mechi zote hilo kombe litachukuliwa na nani?Liverkuku hata ashinde mechi zote , huwezi amin habebi EPL
MNA GUNDU NALO,
Achana naye huyo boya wa aseno anakuharibia siku tu, mshauri ashabikie yanga tuAkishinda mechi zote hilo kombe litachukuliwa na nani?
mimi ni liverpool fan ila kama ni kweli umeanza kuangalia premium 1993 kwa jibu alilokujibu hajakutendea haki ingawa ndio hvyo inabidi tuvumiliane tu mkuuNeno moja tu kwako ni huna malezi na nasikitikia waliokuzaa hakika hakika wamepata hasara,labda umri ukikua utajitambua
nahic unatype ilimradi tu kujaza server yani timu ishinde mechi zote halafu bado EPL tuisikie redioni?labda kama kigezo cha kuchukua EPL sio uwingi wa pointEndelea kupiga ramli ,ila tunachojua
Hata ushinde mech zote za ligi , bado EPL utalisikia redion tu
Hahahaha, kweli aiseeAchana naye huyo boya wa aseno anakuharibia siku tu, mshauri ashabikie yanga tu
Watapigwa 4 kavu, na Mo Salah atabandika 2We Are Liverpool! Team Ushindi, walete watoto hao Wolves waliogomea vigogo wote, sisi tuwafunze adabu kwa kipigo cha mbwa koko