Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha uongo wewe,livakuku lini kashinda premier?Nilijua tu toka/tangu inakuja. Mie hujajibu swali. Umetoa orodha ya vitu ambavyo vimetokea tangu Liverpool ashinde Premier. Na mimi nakuuliza utuletee orodha hapa ya nini kimetokea tangu mshinde UCL mara ya mwisho.
Lazima tuulize TANGU, AU TOKA LINI
maana ni kipind marefa wanavaa suti,wewe hata hujazaliwa
