Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii ndiyo kauli ya Kimpira
Klopp: "Only City can stop City, we just have to play our own game."
Klopp: "Only City can stop City, we just have to play our own game."
Last season mlitutoa Kila round kuanzia room, city etc.Kila lakheri kwenye champions league ila team yenu haijashinda away na sio salama sana unapokutana na team kama buyern ,Madrid ,barca
Unai Emery amewafanya watu waibukie na kasi moja ya hatari Ahahahhahahahahah
AROON huyo, ndo na mwenzake DullyJr, wanasumbua sana, mnajikuta hata hamwezi kujadili mpira kwa kuelewana, yaani ni dhihaka mwanzo mwisho.
Last season mlitutoa Kila round kuanzia room, city etc.
Naona mmeanza Tena
Haya ngoja tuone, maana sometimes kubishana na shabiki was United Ni sawa na kutukana kivuli
Mbona hampend kusemwa nyie,
Hivi liver kuongoza lig , wakat hata raund ya 1 haijaisha mshajiona mmebeba EPL?
mimi nauhakika mwisho wa msimu mtatoka kapa ,
Kama hamuamin subirini,
Arsenal now tunajenga timu, hatuna presha, top 4 lazima, na kikombe kimoja kocha kaambiwa abebe ,kati ya carabao, FA au UEROPA,
halafu tukizama Uefa, ndio tupambanie Epl,
Wahusika wa Liverpool nimeikuta hii sehemu sijui ukweli wake ukoje.
Kisa ninyi mlipigwa na wolves au kuna sababu nyingne??
katika kipindi cha miaka 20 ni mara sita tu arsenal have gone beyond last 16
We are so used to this shit."HUJATUKERA BADO"Wahusika wa Liverpool nimeikuta hii sehemu sijui ukweli wake ukoje.
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua ubingwa wa Uingereza ilikuwa siku ya Jumamosi, Aprili 28, 1990 baada ya kuifunga QPR goli 2-1.
ANC ilikuwa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini.
NCCR Mageuzi lilikuwa vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba Tanzania.
Rais wa Marekani alikuwa George Bush mkubwa.
Soda moja ilikuwa shilingi 40/=
Tanzania Bara ilikuwa na mikoa 20.
Stendi ya mabasi ya Mikoani ilikuwa Kisutu na Mnazi Mmoja.
Palipo na Ubalozi wa Marekani palikuwa Drive Inn Cinema.
Jose Mourinho hakuwa ameanza kuwa kocha lakini katwaa ubingwa huo mara 3.
De Gea hakuwa amezaliwa lakini katwaa ubingwa huo.
Noti ya juu kabisa Tanzania ilikuwa shilingi 1000/= na shilingi 10/= ilikuwa ya noti.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa alikuwa waziri, JK alikuwa naibu waziri na JPM alikuwa mwalimu wa sekondari. Wote hao wameshakuwa marais.
Kumbi maarufu za burudani Dar zilikuwa La Prima, Bahama Mama na Mbowe. Na moja ya bendi maarufu ilikuwa Bima Lee Orchestra.
Msemo maarufu ulikuwa 'la kupalama la kuchumpa' na msichana aliitwa 'kishtobe'.
Sanduku la Posta ndo ilikuwa kitu cha kurahisisha mawasiliano na duniani tulikuwa na penpal friends.
Sir Alex Ferguson alikuwa na miaka 3 tu toka awe kocha wa Man United. Ameshastaafu baada ya miaka 27 na sasa ni miaka minne tangu astaafu.
Man United ilikuwa imeshatwaa ubingwa wa ligi mara 7 tu na Liverpool mara 18. Lakini leo hii Man United keshatwaa mara 20 na Liverpool bado hizo hizo 18.
Sehemu kubwa ya Ubungo ilikuwa pori na Sinza bado kulikuwa na mashamba ya mpunga.
Viwanda maarufu vya nguo vilikuwa Sunguratex na Urafiki. KTM Mbagala haikuwepo. Kwanza Mbagala yenyewe ilikuwa porini kabisa.
Timu maarufu kwenye ligi ya Tanzania ukiachia Simba na Yanga, zilikuwa Pilsner, Sigara, Tukuyu Stars, Lipuli, Ushirika Moshi, Pamba, Nyota Nyekundu, Milambo, Reli, MECCO, Coastal Union, Pan African, Ujenzi Rukwa na RTC Kagera.
Marijani Rajab alikuwa bado hai.
Diamond Platinumz hakuwa ameanza hata shule ya vidudu.
Kiongozi aliyekuwa akiogopwa duniani alikuwa Saddam Hussein.
Stori maarufu Tanzania zilikuwa za Willy Gamba. Jarida maarufu zaidi lilikuwa Sani la kina Bawji na Nico ye Mbhago na Tanzania Film la Faraji H H Katalambula.
Mchoraji maarufu zaidi alikuwa John Mathias Kaduma.
Kimsingi, ndo ivo.
Nitaarifa ,sijaja kukukera , kwan mwenzako amepost hapo juu kunikera?We are so used to this shit."HUJATUKERA BADO"
Hawa wafu, acha wazikane wenyewe
Hiz kauli hizi haya
Ulikuwepo huu mwakaUbingwa gani?
UCL 2005 hawakuvaa hivyo
Dany ings alikuepoUlikuwepo huu mwaka