Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu ni Ian Doyle kweli tunayemjua pale Echo????

Amemrate Fabinho 9!!!!! Sasa kuna Mazuri yanakuja

Fabinho 9

Even better than against Everton. Ran the show in midfield, dominated United, tidied up and drove Liverpool on, and even popped up with a sublime assist for Mane. Brilliant.
 
Mourinho kilichomzidisha leo tumfunge ni kiburi chake cha kutokupaki Basi..

Anajua wazi kuwa linalomsaidia yeye anapokutana na Liverpool ni kupaki Basi..

Lakini leo kajifanya kufunguka aambiwe eti anacheza mpira wa kushambulia.
 
Tokea tuanze hii season mpira Mkubwa tulioupiga leo hatujawahi kuucheza! Nani anabisha?
Gemu yetu ya mwanzo westham anachukua 4-0 kipindi kile partnership ya gin, keita na milner ndio ilikua inabamba nako tuliupiga mwingi sana
 
Garry Nevill anazidi Kumez maneno yake pale alipomwita Xhaqiri unprofessional and going missing in big matches....

Now anaendelea kupata majibu kutoka kwa Xhaqiri mwenyewe.

Infact "A failed manager would hardly be a good person to judge a player"
 
nimemwona fabinho leo alikuwa katika kiwango bora sana na alicheza vizuri kwakweli ila kusema kwamba ndio defencive mid bora kwa sasa pale epl yakupasa ufute hiyo kauli la sivyo uje na stats zinazomwonesha amewazidi hawa wanaume....Andre Gomez,Joghinho,Lucas Torrera kama huna takwimu basi tunakuchukulia umeropoka tu kutokana na ushindi wa leo


hongereni sana wana liverpool
 
FT
IMG_20181216_233842.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom