Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,261
Teh teh teh acha mbwembwe babuYeah...Tangu Liverpool ileee iliyotwaa EPL kwa mara ya mwisho sie tupo nayo tu... Hii come back inatushtua hata sisi wakongwe... tulihisi ingepotea kama kina Sheffield Wednesday... au... Nottingham forest....vijana wengi hawajui kama hizi timu zilikuwepo... Liverpool inakuja kwa kasi na kurudia kwenye enzi zake.... timu pekee inayotawala soka la ulaya tokea Wingerezani...
Kila la kheri vijana wetu