Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mzee wa nuksi huyo anataka kuingia 😡
Hakuna mchezaji wa Liverpool mwenye nuksiMzee wa nuksi huyo anataka kuingia 😡
Ni kweli. Haya ongeza tena muda.h
hutoboi huu mwaka bila ya kuwa katika nafasi yako...
Karibu tena.Dah kumbe uko Arusha mze ..umetishaa!!
Kesho baada ya kipigo kikali kutoka kwa red devils ..nitakutafuta nikutoe Pepsi big hahahaha..

Mkuu unafuraha mpaka unasahau fabihno na keita combination yao imeleta droo ,alipotoka keita chuma mbili zikaingia ,tuseme shaq na fabi wameleta ushindi hongereniNilitaka Kushangaa Umuanzishe Fabinho na Keita kwa wakati mmoja tusishinde!!!