Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Bado Arsenal sasa ! Si wanajifanya wanajeuri!!!
Anfield hapamuachi mtu salama
Anfield hapamuachi mtu salama
hongereni kwa ushindi aseeeeeeh nimeangalia game mwanzo mwisho kwakweli mlikuwa vizuri sana mlistahili ushindi..ila huyu shakir huyu kudadek huyu mwamba kaniharibia sherehe leo........Ni kweli. Haya ongeza tena muda.
Mipira ya kujulia ukubwani bwana tabu sana, Mou aliua winga ya kulia baada ya Dalot kutoka, kwa hiyo huyu akawa free kupanda anavyotaka, Upmbaf wa Mou kumuacha bench Valencia ndio umempa kiki kijana. USIMPIME KWA MECHI HII ILIYOHARIBIWA NA UPANGAJI WA KIKOSI.
Huyu robertson ni moto wa kuotea mbali anakaba na anapanda kutoa assist na anaperfom kwa consistent ya hali ya juuHiyo mnajua wenyewe huko huko kwenye timu yenu so hayo maneno hayawahusu Liverpool FC na kama kipigo mmekula kipigo kilichoshiba, na kuhusu Robertson ni kwamba ndio mchezaji anaejua kukaba kuliko wote pale Liverpool kwa sasa
Huyu robertson ni moto wa kuotea mbali anakaba na anapanda kutoa assist na anaperfom kwa consistent ya hali ya juu
mimi sijabisha mkuu acha kunisingizia.......manure leo wamekojoa mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa@Dully
Nawasalimieni ndugu zangu wa Anfield. Huwa nawasomeni kimyakimya. Ila leo uzalendo umenishinda...
Babu niko nanyi nashangilia kimyakimya... kitu kimoja watu hawakijui ni kuwa Mungu ni shabiki wa Liverpool...
Salamaleku MosDef King Ngwaba Malafyale ... nawaeleweni sana... kila mmoja na filosofia yake ya soka la Anfield.
Pamoja sana
Wasalaam babu yenu ODM nikiwa huku mlimani nikiwaombea heri na mafanikio
YNWA
Achana na hawa bendera mimi nafuatialiga mazoezi ya melwood roberson ni mchezaji bora kwa sasa na amevaa ile spirit ya liver haswahaswa, Kwenye kambi ya liverpool wachezaji watatu milner, frimino na robertson ndio wanaojituma zaidi juzijuz hapa klop alimuongelea robertson baada ya kua nominated kwenye mchezaji bora wa mweziWe ndo huangalii mpira. Nadhani Robertson umemwonea kwenye hii game usingesema mashudu yako hapa.
Hujamuangali vizuri wewe papara kama kawa tuLoveren leo alitulia sanaaa hakuwa na papara zake zile zinazo tucostig
Yeah...Tangu Liverpool ileee iliyotwaa EPL kwa mara ya mwisho sie tupo nayo tu... Hii come back inatushtua hata sisi wakongwe... tulihisi ingepotea kama kina Sheffield Wednesday... au... Nottingham forest....vijana wengi hawajui kama hizi timu zilikuwepo... Liverpool inakuja kwa kasi na kurudia kwenye enzi zake.... timu pekee inayotawala soka la ulaya tokea Wingerezani...Mkuu usiache kutupitia mara kwa mara kwani Nyinyi ndiyo Watu Wazima Wa JF ambao ndiyo mulioifanya mpaka leo ikawa Hapa ilipo.
Mkuu may be first half maana sikuwepo nilikuwa kwenye harakat zangu ilaHujamuangali vizuri wewe papara kama kawa tu