Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Huyo ni mropokaji, hajui miaka yote toka 2007 arsenal huwa inapotea hasa November had december huwa haipat point, lakin safar hii november imepita salamaila wewe unapoteana raundi ya ngapi mkuu?maana na wewe pia ndio walewale tena kwa kizazi hiki nahisi mimi nina afadhali
Huyu kufikia tarehe 29 zitakuwa zimebaki point 5, nakuja kumpiga hapo hapo zinabaki 2naona hukulidhika mpaka ................naona tunakutia homa sana sisi hatutaki historia hapa ni football tu,kifupi kaa na historia yako sijui ulihadithiwa au uliona youtube ila mimi tar 29 nakuja kufunga turubai hapa yaani fujo kama zote
Unaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,
Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,
Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,
Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,
Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.
UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo
NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
HistoryNdo mafanikio yao makubwa UEFA hawa jamaa.
usihangaike mkuu hawa nawamudu kabisa mabingwa wa kulose a.k.a loserfoolHuyu kufikia tarehe 29 zitakuwa zimebaki point 5, nakuja kumpiga hapo hapo zinabaki 2
Mark my word ,
Wewe EPL una mafanikio gani?
Unawezaje kushupaza shingo, ilhali timu yako toka 2011 nikiwa kidato cha sita ,ndio mara ya mwisho liver kubeba taji ,tena likiwa CARABAO CUP?
Au unafurahia kufuzu UCL kama totenham?na kuwa msindikizaji kwenye FA CUP, EPL ,?
Anajifurahisha, na hawa wamerud siku hiz ,liver ilipoteza mashabiki ,hata hawa waliopo sasa watu huwa wanajiuliza wametokea wapikipi
kipindi munaokoteza virekodi vyenu uchwara basi mutuwekee na ile rekodi yenu ya kukata na shoka kuwa LIVERPULU HAIKUWAHI KUCHUKUA EPL
Nimesoma neno kwa neno, mstari kwa mstari sijaelewa hata moja, lohNapenda mshinde ila mna chonga sana
Matokeo yoyote sawa tu
Mkishinda shangwe, mkipigwa shangwe,mkisare shangwe tu
Uzuri man city kashasimamishwa , hakuna wa kujifanya UNBEATEN ,hiyo itachukua miaka 100
Wewe liver hatuna wasiwasi na wewe, hata wolves anakutosha
Nadhan sasa UNBEATEN YA INVINCIBLE INAWEZA KUCHUKUA HATA MIAKA 100 NA ITAVUNJWA NA ARSENAL WENYEWE, IWAPO ITATOKEA MIAKA IJAYO HAPA KARIBUNI
Nami nakuswalika je unafurahia nini kwenye timu yako toka 2011?Twende hatua kwa hatua; Je unakubali au unakataa kuhusiana na ninyi kuwa the highest achievement in CL ni hiyo final ya 2006?
Ukijibu hilo niulize maswali yako.
Sio lazima uelewe wewe, huenda upo bar , utaelewa nini sasaNimesoma neno kwa neno, mstari kwa mstari sijaelewa hata moja, loh
Mkuu nadhani umelewa hapa sio bureUnaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,
Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,
Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,
Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,
Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.
UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo
NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
Sasa kumbe kuna mafanikio aliyapata ASTON VILLA ww mpka leo hujayapataaaUnaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,
Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,
Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,
Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,
Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.
UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo
NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
Nimesoma neno kwa neno, mstari kwa mstari sijaelewa hata moja, loh
Alie kuambia nani au ndo utabiri wako huuDembele hahitaji kuja hapo ukameni
Dembele nia yake ni kucheza gunners kwa rafiki zake kina AUBA ,MICKy, afurahie mpira mzuri au sex football
Nia yake ni hiyo, na akija liver hatadumu, atakuwa mpitaji tu kama anavyopita hapo barca, lengo lake ni kuungana na wana gunaz, na kukutana na msaka vipaji bwana. Sven ,aliyegundua kipaji chake.
Sidhani kama atakubali kuja hapo UKAMENI, atafata nyayo zile zile za ALEXIS SANCHEZ
Nami nakuswalika je unafurahia nini kwenye timu yako toka 2011?
Una tofaut gan na totenham?
Mkuu nadhani umelewa hapa sio bure
Chelsea imzidi washabiki liverpool labda hapa tanzania lkn sio duniani
Alisoma form6 huyoNi ngumu kuelewa kwa sababu anatoka hiki anarukia hiki, kabla hata cha kwanza hakijaisha.
Ni kama anajaribu kutafuta comfort zone, ndo maana tunazungumzia CL analeta unbeaten, tunazungumzia Premier League anafanya cut-off ya 1992 as if huko nyuma hakukuwa na ligi, jina tu ndo limebadilika.
mkuu MUNGU anakuona kabisaaaaaaaa hebu jibu swali hili ili twende sawa....Alie kuambia nani au ndo utabiri wako huu
Arsenal ni timu yenye majonzi mengi sanaaa kwan ww tangu hyo 2011 unamaliza form 6 ulibeba kombe gan tofauti na hayo ya carabao na FA
Hunamafanikio yoyote thus y mpk sasa haupo kwenye list ya Giant club
Piga kelele nying lkn naongoza ligi
Mshindani wa Liverpool ni man city tu kwenye EPL ww na Chelsea mtulie kwanza vitimu ambavyo akiumia mchezaji mmoja mnapoteana
mkishikwa mnakimbilia kuacha kumquote mtu...........dah sijui lini mtabadilika nyie viumbeAlisoma form6 huyo
Hata kupanga hoja kazi kwake
Cha muhimu ni kuacha Aropoke ikiwezekama
Tuache kumquote
Maana ukimquote anaona kaandika kwel kwel au anatukera kweli kwel
Kumbe anaboa kwenye uandishi wake wenye ukakasi ndani yake