Kwani Karius bado yupo?hivi Clyne majeruhi au kiwango ndio kimekwenda na maji hata kua benchi au kupata namba wakati kama huu kuna majeruhi pia ni shindaa...
Klopp angewauza hawa Lovren, Moreno, Clyne, Lallana, Markovic, Karius n.k ili asajili real squad players wangetufaa sana esp mabeki yupo ndogo fulani Gibson pale Middle walivykua EPL niliona anacheza vzuri sana..
Kama hawa Ma jnr wameiva kuziba izi pengo itakua poa sana, mzungo wa pili natarajia ndogo Rhian atakua full fit na aanze kupata angalau dakika EPL..
Kwani Karius bado yupo?
yupo kwa mkopo wa miaka miwili ndio watoe pesa, kiwango chake kule kinashuka na kupanda, Klopp angechukua chake mapemaaa sio kusubiri...Kwani Karius bado yupo?
Futuhi kuna wenyewe sisi sijui hua hawaelewi Liverpool ni timu pekee Uingereza inayomiliki kombe la UEFA Champions Lg tangu mwaka 2005 limetulia pale makumbusho ya Anfield...Baada ya kelele za kukutaka tuwafate FUTUHI, sasa hivi wamebaki na ramli ambazo hata hawajui waombe tufungwe na nani.
Futuhi kuna wenyewe sisi sijui hua hawaelewi Liverpool ni timu pekee Uingereza inayomiliki kombe la UEFA Champions Lg tangu mwaka 2005 limetulia pale makumbusho ya Anfield...
kwa sheria za Uefa ni kwamba klabu yoyote inayochukua hilo kombe mara tano basi humilikishwa mazima hivyo msimu wa 2006 walichonga lingine jipya kabisa nalo tukalikosa kulichukua likiwa jipya mara ya kwanza wakabeba Ac Milan...
Hawa wanaopiga kelele tushuke Futuhi hawaelewi sisi Uefa ndio kwetu na mdogo mdogo hao tunakwenda fainali pale Wanda Metropolitan Madrid
hehe aisee Dully katika ubora wake...wanajijua mkuu........
chipolopolo ni washangiliaji nguli
halisi ni washabiki nguli
aaa hii ndio fainalia ya mwisho hawa Gooners walifika Uefa, nashukuru sana ndugu kunikumbusha..Sure, kukumbushana 2006 alilichukua Barca akiicheza Final na Arsenal (fainali yao ya kwanza na ya mwisho CL). Milan ilikuwa 2007.
aaa hii ndio fainalia ya mwisho hawa Gooners walifika Uefa, nashukuru sana ndugu kunikumbusha..
na kelele haziishi humu utadhani pale makumbusho yao imejaa mataji ya Uefa..Ndo mafanikio yao makubwa UEFA hawa jamaa.
hivi Clyne majeruhi au kiwango ndio kimekwenda na maji hata kua benchi au kupata namba wakati kama huu kuna majeruhi pia ni shindaa...
Klopp angewauza hawa Lovren, Moreno, Clyne, Lallana, Markovic, Karius n.k ili asajili real squad players wangetufaa sana esp mabeki yupo ndogo fulani Gibson pale Middle walivykua EPL niliona anacheza vzuri sana..
Kama hawa Ma jnr wameiva kuziba izi pengo itakua poa sana, mzungo wa pili natarajia ndogo Rhian atakua full fit na aanze kupata angalau dakika EPL..
Mkuu huyu lallana sidhan kama atauzwa maana waingereza na klopp wanamrate sanaa kumbe kashakua mzoga tyr• Clyne ana injury
• Kuhusu hao wengine kuwaza issue sio kuwauza Bali kupata Mteja ndiyo issue..
Si unajua kuwa Sturridge alikuwa Sokoni lakini hakuna timu iliyofikia bide ..
Sasa na Kupata Midtable team kufikia dau kwa Lallana au Moreno si rahisi.
Futuhi kuna wenyewe sisi sijui hua hawaelewi Liverpool ni timu pekee Uingereza inayomiliki kombe la UEFA Champions Lg tangu mwaka 2005 limetulia pale makumbusho ya Anfield...
kwa sheria za Uefa ni kwamba klabu yoyote inayochukua hilo kombe mara tano basi humilikishwa mazima hivyo msimu wa 2006 walichonga lingine jipya kabisa nalo tukalikosa kulichukua likiwa jipya mara ya kwanza wakabeba Ac Milan...
Hawa wanaopiga kelele tushuke Futuhi hawaelewi sisi Uefa ndio kwetu na mdogo mdogo hao tunakwenda fainali pale Wanda Metropolitan Madrid
kumbe na sheria walishabadili aaa safi angalau lipo limetulia pale Anfield...Uingereza kidume wa Uefa ni mmoja tu na wanamjua sema ubishi wao wa tu...View attachment 967871
Tena Kwa Bahati mbaya Liverpool ndiyo Timu ya Mwisho Duniani Kuchukua Kombe la Champion League Original likawa lake Mali Yake Kwani Baadaya Liverpool kulichukua Mwaka 2005 UEFA wakabadilisha Sheria hiyo mwaka 2009 na Kufuta Kipengele cha Timu ikichukua Mara 3 mfulizo au Mara 5 kwa Vipindi tofauti kuwa linakuwa lake.
Kwahiyo sasahivi Hata Timu ibebe Mara 10 mfululizo itaishia Kupewa Kombe la Bandia tu ambalo limetaka kufanana na Original.
Mpaka sasa Ni Wababe Watano tu Ambao Wamepewa Kombe Halisi la CL kuwa lakwao Mali yao ambao Ni:
√ Real Madrid, after their sixth title in 1966.
√ Ajax, after their third consecutive title in 1973.
√ Bayern Munich, after their third consecutive title in 1976.
√ Milan, after their fifth title in 1994.
√ Liverpool, after their fifth title in 2005.
So, waliobakia wanabeba Copy tu ya Kombe.
Na Wengine Kina Ass-anal wanaishia Kula Kwa Macho.
kweli kabisaa mkuu ishu soko la wachezaji kwa sasa limevurugika kabisaa..• Clyne ana injury
• Kuhusu hao wengine kuwaza issue sio kuwauza Bali kupata Mteja ndiyo issue..
Si unajua kuwa Sturridge alikuwa Sokoni lakini hakuna timu iliyofikia bide ..
Sasa na Kupata Midtable team kufikia dau kwa Lallana au Moreno si rahisi.
kosa moja so far ile goli ya Leicester tu..na baada ya hapo akawa amekaribishwa rasmi ligi ya Uingereza....Watamuelewa tuView attachment 967891
kwa mfumo huu wa Klopp 4 4 1 1 au wengine wanaita 4 2 3 1 Salah alicheza kama central striker utaleta sana magoli na pointi za kutosha...Mkuu huyu lallana sidhan kama atauzwa maana waingereza na klopp wanamrate sanaa kumbe kashakua mzoga tyr
Mimi wafuatao napendekezwa wangeuzwa
-karius
-clyne
-lallana
-orig
-hendo pia(ingawa kaongeza mkataba)
-
Watuletee vijana wa kazi hata wa 4
Beki2
Maforward2